Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kishuguu wa watu mnampa spana za utosi tuu toka kanyanyua kalamu hajapumua😂😂😂🙌🙌🙌 kwelii unyama unyama kuanzia field mpaka kwenye forums wa NATO wanakimbizwa akinyanyuka nshalae akikaa nshaleee mmaamee.
😂😂😂😂 Duh...watu mna maneno aisee
 
Nahisi Urusi inatumia kisingizio cha NATO lakini ina onekana Urusi inamalengo mengine kabisa ndani ya Ukrain ,maana
lengo la Urusi kuizuia Ukraine kujiunga na
NATO kesha fanikiwa maana Ukraine imesha kubali kabisa hilo sharti lakini hataki kusitisha vita.

Ukraine imesha kubali kutoegemea upande wowote na imesha kubali kuyapa majimbo yanayo taka kujitenga uhuru mkubwa wa kujitawala lakini sio kuwa mafaifa huru.

Ugumu unakuja kwenye suala la Dombas inavyo onekana Urusi inataka kulipora eneo hilo na kilifanya mali yake maana ni eneo lenye utajiri mkubwa wa madini ya chuma na lina utitiri wa viwanda vilivyo jengwa wakati wa Usoviet na ndio maana anarazimisha yajitenge ili iwe rahisi kuyachukua.

Haya masuala ya Ukraine kujiunga na NATO ni kisingizio tu maana kama ngekuwa ndio lengo la Urusi vita ingekuwa imeisha muda mrefu na ndio maana hata mashirika ya kijasusi ya kimagharibi yanakili kabisa kuwa mpaka sasa hawajayajua marengo ya Putin ndani ya Ukrain.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Umezidisha sana bangi kwenye hizi siku kuu inaonekana.
 
Victory day 9 may pasua kichwa kwa dikteta Putin, hana lolote la kujivunia zaidi ya hasara siku zaidi ya 60, vita vya siku 3. Moskova mazalio ya dagaa bahari nyeusi, idadi kubwa ya zana -vifaru ,ndege vimeangamizwa, Vijana wengi wa Urusi wamepoteza maisha vitani. Freedom will prevail, glory to Ukraine, glory to the free world.
 
@britanicca endelea kushusha mada za kutosha,tunajua wewe upo Russia,kuna watu hapa wanamakasiriko na threads zako.
Ndugu iyo picha ya mother Teresa kwenye dp yako inamaana kubwa Sana kwenye maswala ya upendo na amani na kusaidia maskini na sio kuwa mshabiki wa Vita vya Urusi na Ukraine.
#STOP IT[emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko mweupe kichwani au umejitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…