LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

Kwanza mkuu achana na porojo za magharibi (propaganda) kuwa "urusi imewekewa vikwazo na DUNIA YOTE""

Hiyo dunia yote ni ipi?! Hizi ni propaganda dhaifu sana mkuu, urusi amewekewa vikwazo na nchi za magharibi ambazo hazichukui hata nusu ya eneo la dunia, yaani ulaya magharibi na amerika kaskazini tu! Sasa hiyo ndio DUNIA YOTE?

Hebu tuache kuwa brainwashed na hawa western, dunia ni kubwa sana kuliko hao NATO, Tayari mataifa ya CHINA na INDIA yalikuwa ABSTAINED kupiga kura kwenye baraza la umoja wa mataifa kuilaani urusi that means kwamba yalikataa matakwa ya marekani , mpaka urusi ikawasifia,

Asia, Africa, Latin amerika, zote hizo hakuna hata nchi moja iliyotangaza vikwazo kwa urusi. Unasemaje dunia yote?! Dunia ni mataifa ya magharibi au?! Tuache kuwa brainwashed na western media, dunia ni kubwa kuliko NATO na western countries!
 
Western media wameamua kusema ukweli sasa kwamba Ukraine kachakaa na hapo bado Russia kasema silaha haitashushwa chini hata wakati wa mazungumzo labda baada ya mazungumzo na inategemea na makubaliano wakati wa mazungumzo
Western media leo kimyaa utasema hakuna vita maana wametudanganya mpaka wameona hakuna cha kudanganya tena. Vita inabidi ureport ukweli ili uweze kuepusha balaa zaidi kwani wangewaambia Ukraine kwa sasa surrender tu kuepusha vifo bila sababu lakini wamekuwa kutwa hawa mashujaa hawa wanajitolea kupigana wakati nchi yao inazuia watu 18-60 kukimbia sasa huko kujitolea?

kutwa wako na Abramovic na Chelsea utasema yeye ndio Putin sasa wako na FIFA wakati wanajuwa siasa na michezo marufuku, ok tuseme tumeingiza siasa FIFA na kuwafungia Russia basi ni vizuri kuwa na sheria kwa wote kesho ikitokea Rwanda kaingia Congo fungia akitokea USA fungia sheria kote. Leo Media zao utasema hakuna vita kimya wanaona aibu kuwaingiza mkenge Ukraine.
 
Western media wameamua kusema ukweli sasa kwamba Ukraine kachakaa na hapo bado Russia kasema silaha haitashushwa chini hata wakati wa mazungumzo labda baada ya mazungumzo na inategemea na makubaliano wakati wa mazungumzo
kwa akili yako ya kijinga Aljazeera ni western media?
 
Wote watajiunga nato sasa sijui Russia atafanyaje
hachen mahaba ya upande mmoja leten updates hapa...namimi kwa mahaba nikisema kwavita hii mpaka xaxa imewafumbua macho taiwan na korea kusini kwamba marekani ni muhuni na siwakumtegemea tutakesha kwakubishana hapa....tulete true updates kwanza yakinachoendelea tupunguze propaganda jamani watu wanaleta hadi propaganda za urusi kuishiwa silaha na mafuta wakati urusi anatengeneza silaha zake nakuzalisha mafuta yake mwenyewe,wakuishiwa silaha angekua ukraine sio urusi....tuleteen live updates zakweli hatakama ningumu kumeza nitameza hivyovyo nasio mahaba na propaganda
 
Wenye akili waliona propaganda toka mwanzo, Putin ana akili sana yule jamaa. Wale wanamgambo ndio wameingia front ambao kiuhalisia ni waukraine wanapiga ndugu zao. Jeshi kamili la Urusi linamsubiri hata jiwe kutokea NATO.
 
Leta updates za RT kama unaona unadanganywa na western media.
 
warusi saiv ndo mmekuwa na huruma kubwa kwa raia wa ukraine kias hich?
hakika urusi maji ya shingo,
 
Katika speech yake hamna sehemu ametaja neno Nyuklia-kwa nini wanampaka matope Putin.haya mataifa ya NATO yanaunda maneno kila kukicha but at the end Russia will win.
 
Wenye akili waliona propaganda toka mwanzo, Putin ana akili sana yule jamaa. Wale wanamgambo ndio wameingia front ambao kiuhalisia ni waukraine wanapiga ndugu zao. Jeshi kamili la Urusi linamsubiri hata jiwe kutokea NATO.
Haha mkuu upo kitengo gani hapo jeshi la Russia?
 
Sasa wewe umuwekee urusi kikwazo una nini cha msingi? Tz hatufanyi biashara yoyote na hao jamaa
 
Leta updates za RT kama unaona unadanganywa na western media.
Wewe unajuwa RT wamekuwa wakubwa kuliko hao waliokuwa wamewatangulia? CNN ndio kabisa wamekuwa kama TBC wakiwa nao jambo wanakomalia 24 Hrs hata Trump walimfanya hivyo. Mimi nimesema hata zile propaganda zao leo kimya utasema hawako frontline kimyaa. RT naweza kuwasikiliza ila nataka nisikie hawa wanaojiita freedom of speech hata youtube wanafunga wacha tuone uhuru wa kuongea mbona unawashinda uvumilivu sasa.
 
Sasa wewe umuwekee urusi kikwazo una nini cha msingi? Tz hatufanyi biashara yoyote na hao jamaa
Nili chaguliwaga kwenda urusi ila nilivo fatilia hao washkaji ni wabaguzi balaa yani kuna mitaa mtu mweusi hukatizi
 
Eti kila Mwananchi wa Ukraine anaunga mkono jeshi lao sio kweli-zote hizo ni propaganda.takwimu zinaonesha hata kabla ya hii Operation 49% ya Wananchi wabapenda kuwa upande wa Russia na 50% iliyobaki ndio wanataka kuwa upande wa Ukraine sasa wanappsema kila Mwananchi huoni huo ni uongo.Ni sawa na Zanzibar sasa HV kiwake halafu usikie media zinasema kila Mwananchi wa Zanzibar anapigana kubaki kwenye Muungano wa Tanganyika na Zanzibar-lazima utashangaa au sio??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…