LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Zitapita Anga lipi hadi kufika maana nasikia Urusi kachukua superiority angani
 
⚡️ Footage reportedly shows artillery shelling raining down on Kharkov – unverified social media clip
Your browser is not able to display this video.
 
Hii vita ni ngumu kuisha
 
Ila Russia mpaka sasa mategemeo ni tofauti na hii ya askari wake kutelekeza tanks seems vikwazo vya uchumi vimeanza kum hit vibaya. Watu wa magharibi wakishakulegeza wanaweza kutumia vita hii kumshughulikia na kutoa Putin madarakani.
Hio ni njozi ya mchana
 
⚡️ Moscow regrets negotiations with Ukraine did not start a day earlier, there was an opportunity – Kremlin spox

Kremlin spox Dmitry Peskov said imposing sanctions against Putin is short-sighted and absurd for solving problems. He added, weapon supplies by Western countries to Ukraine are a dangerous factor that does not contribute to restoration of order.
 
Wewe ulijua Jeshi la Urusi halipigwi au?
 
Ukraine anapigana na Nchi mbili why asisaidiwe
 
Aiseee
 
Tatizo hawawezi kukulewaa.
Umepigwa base zako Kama 100 hivi bado umepigwa na mtaani nabado unapigwatu. Alafu Wala hata hamfi. .Hawa si waliweka askali 60,000 huko donbas?, Mbona hatusikii wakijibu mapigo au wameishiwa risasi?. Air strik zilikua zinapiga maporini? Hiyo mizinga na makombora yanapigwa maporini. Kambi zote wamezikimbia wameenda kujichanganya na raia we unafikiria wamekutana na kitugani mpka wakatafute cover ya raia?. Yaaani watu na akili zao wanategemea mig29 kwaidadi 30 ipigane na jeshi la Russia au mnazani huko wanapigana Yoweri K. Museven na Bosco Ntaganda?. Ila NATO wanajua kuwafumbaza watu akili jamani. Siku Vita ikiisha mtashangazwa na mengi.

Licha ya yote hi Vita inaenda kuwa ya dunia Kama ukrein atakataa demand za Russia na kutokea hizo ndege kutoka Poland.
Jamani kumbukeni mzigoni yupo Russia sio Asad.
 
Hata Trump amewashangaa wanampa mtu vikwazo ambaye kashazoea kuwa navyo miaka yote haha
Hajawahi fungiwa Anga
Hajawahi fungiwa SWIFT
Makampuni yake hayajawahi kuporomoka hivi tuonavyo
 
Kwa Nini Russia asimjaribu Poland cause hiyo ndio njia ya Silaha zinazowatoa Jasho Hadi sasa
Subili wakabidhi hizo ndege. Utakuja hapa kutupa mrejesho.

Mmedanganywa mpaka mmekua hamuuoni ukweli. We na akili zako Russia ndio wa kumtumia askali 7,000 eti mmesogeza askali wa NATO. Huko donbas kulikua na askali zaiei ya 60,000 na walipigwa kwa saa mbilitu wakatupa bunduki na kuvua gwanda kujichanganya na raia huku wakiwaelekeza askali mamluki wa urusi vituo vya kuanza kuviwhika. Na hapo haijatumika silaha yeyote modern. Ni ma 40 Barrow's,Kyatuehka,120mm,140mm,60mm, hivo Yani air defense alizoingia nazo Russia Ni ma Buk,SAAMs,Kub na mizinga michache ya infantry ya kutungua ndege Ant air cannon na ant air gun. Saivi mnaleta polojo za Russia kuishiwa nguvu ivi mpo serious kweli?.
 
Weka ushahidi wa hayo madai yako kuwa genocide haizingatii idadi kubwa ya watu kufa.

Baada ya hilo, bado hujajibu maswali haya yalokolezwa wino:

Kwa hiyo makombora yoote yalipigwa makazi ya watu (kama unavyodai) ndio yameua raia 352 tu wanaoripotiwa na wizara ya ulinzi ya Ukraine? Basi Wanajeshi wa Russia walikuwa hawana shabaha nzuri.

Sasa hao raia 352 walokufa ndio mauaji makubwa ya genocide? Kwa hiyo ulitegemea raia wa Ukraine wapewe silaha wapambane na majeshi ya Russia halafu majeshi hayo ya Russia yawaangalie tu pasi na kuwapa kipigo cha mwizi?

Vifo vya wanajeshi wa Ukraine kwa mujibu wa serikali ya Ukraine ni kuwa havizidi 700. Ila wao wanadai wameua wanajeshi wa Russia zaidi ya 4000. Sasa kwa nini walikuwa wakiomba msaada kwa raia wa kawaida na pia raia toka nchi nyingine duniani?

Ukraine ieleze ukweli juu ya idadi ya vifo vya wanajeshi wake na raia waliopewa risasi wapambane na Russia ktk mavazi ya kiraia (ngao ya vita)
 
tatizo lako unataka kutuelezea kama vile sis hatuna access na hizo Tv,hapo ndipo nakukatalia Mkuu,leta habari lakini punguza kahawa maana sote tunaangalia kama wewe tu😂
Sasa mimi nitaangalia channel zote wako watu wanatizama TBC wako Channel 10 na wanaamini hizo 100% yote inategemea na wewe unataka kusikia nini. Mimi natizama wale wale Pro west media ndio maana nimesema toka asubuhi sijaona jipya ni yale yale ya jana sasa kama kuna channel unatizama iko update tuwekee hapa jina tuangalie pia hakuna shida
 
HIVI HIZO SILAHA ZA NUCLEAR LIKILIPULIWA LINAFIKA MPAKA AFRICA AU LINALENGA HUKOHUKO TU ULAYA?
Ina wezo wa kuvunja vioo na kutikisa nyumba ambayi hiyo effect inaweza kutokea kwenye kilometer 900 uko.

Ndani ya humo kuna kuungua, Kupotea kabisa majivu, Inategemeana na ukaribu wa hilo dude lilipopigwa.

Yako aina mbili, Kuna Atom Bom na Hydrogen Bom. Atom lina nguvu lakini Hydrogen ni funga kazi.
 
Hao raia walouawa walihitajika kuchakazwa, wakulaumiwa ni Rais wao Muigizaji aliyewapa silaha kupigana na majeshi yenye nguvu na weledi wa vita

 
Punguza vichambo adija kopa.vita ni vita na silaha ni silaha
 
Mbona hawajaweza now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…