NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Sijui, Mkuu.Katika hii link yote ndefu sana uliyoiweka kuna mahala panaonyesha alichosema mwezako kwamba "Urusi NDIO nchi iliyosambaza majasusi wengi zaidi nje" ?
Marekani inaripoti kuwa majeshi ya Russia yameidungua ndege vita ya Ukraine iliyobeba silaha za kivita karibu na Odesa.Mtafute mtu akutafsirie April ni mwezi gani kwa Kiswahili.
Safi sanaMarekani inaripoti kuwa majeshi ya Russia yameidungua ndege vita ya Ukraine iliyobeba silaha za kivita karibu na Odesa.
Pia majeshi hayo yamekiangamiza kituo cha mafunzo ya wanamizinga cha Ukraine ambapo wakufunzinzi wa kigeni walikuwa wakitoa mafunzo.
Pia shambulio jingine limeangamiza kituo cha wapiganaji wa kigeni kwenye mkoa wa Odesa
View attachment 2250555
Tunaomba link ya telegram mkuu🤩🤩🤩 Hatare na nusu.
Nakuelewa vizuri bro... Ipo siku nitafanya hivyo. Soon or later ila naahidi hilo jambo but sio hapa JF, Tele kuna amani zaidi!
Haina tabu mdau...Tunaomba link ya telegram mkuu