LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Msafara wa kijeshi wa Russia wa urefu wa kilomita 64 (maili 40, yaani ni sawa na umbali toka Dar esa Salaam hadi Mlandizi ) upo kaskazini mwa Kyiv kama inavyoonekana kwenye picha iliyochukuliwa na satellite (kwa mujibu wa chombo cha habari cha Reuters). Vita bado mbichiii, lazima Kyiv ichukuliwe.


 
Mama samia onana na puttin muyajenge,, huyu ndie anafaa kuwa rafiki wa Tanzania na co marekani na washirika wake.
 
Aisee twitter now ukitwitt vibaya kuhusu UKRAINE unakuwa SUSPENDED. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yaan mitandao ya kimagharibi wanataka kile wanachotaka wao tu.

Mkuu,,ingia millard ayo ndiyo utacheka adi mbavu ziume 😁😁 eti zaidi ya wanajeshi 5000 wa urusi wameuawa hadi jana iyo 😁😁😁 nchi za magharibi wanaendelea na Propaganda zao
 
⚑️ Massive explosion next to Kharkov govt HQ (social media reports)


Unverified footage appears to show a projectile striking Kharkov and reportedly causing significant damage to the local government headquarters.
View attachment 2134898
Balaa hilo kombola lilivyofumua hilo jengo nafananisha na silaha za Israel
 
Aseee mliokuwa mnaomba Russia awaonyeshe power aliyonayo.
Kaanza Now, Aloooh Tuombee Waafrica wenzetu walioko huko.
Sina mda na Neo Nazis watajuana wenyewe.
Dah...Russia inaweza kuifuta kabisa Kiev saa chache zijazo...ni hatari kabisa...msururu wa wanajeshi wa Russia wanaoisogelea Kiev ni balaa...
 
Aisee twitter now ukitwitt vibaya kuhusu UKRAINE unakuwa SUSPENDED. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yaan mitandao ya kimagharibi wanataka kile wanachotaka wao tu.
Sasa freedom of opinions/expression ambayo imekuwa ni Kama Sala kwa magharibi iko wapi hapo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…