Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Aisee ni hatari sana, unaambiwa yaani sasa hivi ndio babu kubwa. Putin kaamua kutoa kipigo cha mbwa koko sasa.Aseee mliokuwa mnaomba Russia awaonyeshe power aliyonayo.
Kaanza Now, Aloooh Tuombee Waafrica wenzetu walioko huko.
Sina mda na Neo Nazis watajuana wenyewe.
we kima kweli hio clip wameiupload russia today,chombo cha habari cha serikali ya urusi sasa ww unaaanzaje kukataa, wabongo banah fungua hio link hapo usome au ht kusoma hujuiunauhakika gani kama hapo ni moscow
Na wa Ukraine hata mmoja hajafa?Mkuu,,ingia millard ayo ndiyo utacheka adi mbavu ziume 😁😁 eti zaidi ya wanajeshi 5000 wa urusi wameuawa hadi jana iyo 😁😁😁 nchi za magharibi wanaendelea na Propaganda zao
Ni ya tangu jana... Wakati Urusi anawaambia Raia watoke kwenye mji wa kiev... Tena wanawaambia na uelekeo ambao ni salama
Kuna mchezaji alisukuma paka kwa mguu tu basi utasema karusha bomu la nuclear haikubaliki, afukuzwe, afungwe maneno mpaka unashangaa kwani paka kafa? wao paka kusukumwa ni habari kubwa kuliko mwafrica kufa sasa utakuta huku kwetu mtu I stand for Ukraine.
leo tupu wamekufa 70 wa ukraine, serikali yenyew ya ukraine imesema,Na wa Ukraine hata mmoja hajafa?
Ndo maana nimeacha hata kufuatilia habari toka mainstream media!
Ni mabomu ambayo yakipigwa yanakwenda Ku extract air katika sehemu hiyo panabaki vacuum . kwa maana nyingine yanakwenda kuondoa hewa sehemu hiyo.Hata mi nimesikia hivyo ila sjui bom hilo lina nguvu gani za kuleta athari
Urusi hana nguvu hizo, sema Marekani na NATO wameamua kummaliza kwa njia za amani yaani kumwekea vikwazo mpk atakunya, ameshanza kulialia tayari na wakati hata siku 5 bado
Nimeona hii habari kwenye ukurasa wa telegram, wa meya wa khakiv.sijui ilikuwaje kakaa wengi ivyo kwenye iyo baseleo tupu wamekufa 70 wa ukraine, serikali yenyew ya ukraine imesema,
Tuliwaambia URUSI hana utani, wakaja PRO-NATO wa BUZA na kelele za kusema URUSI hana vifaa na amepigwa vibaya.
Kinachondelea UKRAINE nia BALAA. Tuombe wamalize tofauti zao kwa mazungumzo na sio kwa Vita. Vita ni mbaya sana, nimeona sehemu URUSI wamesema kutokana na propaganda zinazoenezwa kuwa askari wao wengi wameuawa sasa wanataka kuwaonesha kile kitu halisi kinachoitwa kipigo.