Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Watakubali tu ipo siku, hapa ni kama wanajaribu kuondoa uhasama wa kidunia!Russia imeandaa kongamano la International Economic forum mgeni rasmi kiongozi wa Taleban Viongoz wengine wote wa Dunia wamesusia ikiwemo China na India
Walisafiri kwenda kujifungia au kupigana, watoke huko waendelee kupigana au na wao walidanganywa na movieKuna mamluki kuanzia 30-50 kutoka marekani na Georgia wamejifungia huko sevelodonestk
Anatania tu broUmeongea tango pori jomba,
USA + France+UK +NATO,,, hapo n Manchu mengi teyari,, na walichua siku nyingi sana ktk operation yao
Hii nmeisikia mahali kua wanawake wa Ukraine wanavunja ndoa za Watu balaa uko Ukraine.Too sad!
Nearly 500 Ukrainian families left to live on the streets in the UK after refugee sponsors they met on Facebook kick them out of their houses.
β British media
Umenena ukweli. Kwa wasioijua history, USA na Ulaya mwisho nao ni maadui tu. Weka ujerumani pembeni, Italy wao wote ni maadui, Russia upande mwingine kabisaaaa. Cold war ileee ya 60s haijaishaga kirahis.Kuomba poo hawa wanaenda kumtuliza Zele . Watampa ukweli mchungu aachane na Biden