Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Ya.. matokeo yake ikawa aibu kwake mbele ya manager wake, mbele ya wapambe wake, mbele ya mke wake na familia yake kwa ujumla. π€£π€£π€£Lewis alijua dogo kaja kupigwa si kupigana.πππ
Nadhani wanatoa nafasi kwa raia kuondoka. Nasikia raia wamepewa mpaka J5 baada ya hapo asilaumiwe mtu kwa kuua raia na njia za kupita wasiguswe wametoa.Hivi huo msafara wa vifaru vya urusi havijafika tyu kyv,yaan toka usiku wa jn wanasafiri
Wanapigana kiume kupita kiasi, Belarusi katuma jeshi kumsaidia Putin.Nadhani wanatoa nafasi kwa raia kuondoka. Nasikia raia wamepewa mpaka J5 baada ya hapo asilaumiwe mtu kwa kuua raia na njia za kupita wasiguswe wametoa.
Ukraine ipo katika hali mbaya sidhani kama wanaweza rudia ile suprice waliyowapa warusi juzi, na wakirudia basi Putin atakuwa kwenye hali mbaya kisiasa.
Unadhani msafara wa kijeshi ni kama kupanda Kapricon? Au buti la Zungu?Hivi huo msafara wa vifaru vya urusi havijafika tyu kyv,yaan toka usiku wa jn wanasafiri
Boss, hapana mpaka sasa Ukrain yupo kwenye hali mbaya labda afanye muujiza kama wa juzi lakini kimuonekano sidhani.Vita vimekuwa vigumu kwa Mrusi, Belarusi naona kaingiza jeshi kimsaidia Urusi.
BUTI LA ZUNGU nalijuaUnadhani msafara wa kijeshi ni kama kupanda Kapricon? Au buti la Zungu?
India ni mojawapo ya nchi zilizokaa kimya kupiga kura kuhusu vitendo vya kihalifu vya Urusi ndani ya Ukraine.Vita mbaya sana kuna dogo wa kihindi 21 wa mwaka wa mwisho medicine amefariki huko alipokua amekwenda kununua chakula inasikitisha maongezi ya mwisho na mzee wake βKama una bendera kubwa aitundike Kwenye Jengo analokaaβ
Vitendo vya kiharifu?? USA to Iraq, Libya Na Israel to parestina hivyo sio vitendo vya kiharifu???India ni mojawapo ya nchi zilizokaa kimya kupiga kura kuhusu vitendo vya kihalifu vya Urusi ndani ya Ukraine.
Wapi ilisemwa kwamba USA to Iraq, Libya Na Israel to parestina hivyo sio vitendo vya kihalifu?Vitendo vya kiharifu?? USA to Iraq, Libya Na Israel to parestina hivyo sio vitendo vya kiharifu???
Duuuh,kiduku hajawahi kuacha kutest mitambo yake!Fuatilia vizuri suala la Korea kaskazini,baada ya Trump kuwashinikiza China kuiwekea North Korea vikwazo,waliamua kuendana na Marekani anavyotaka,kuacha kustawisha silaha za nyuklia kwenye mitambo yao ya kuzalishia umeme,ndiyo maana uliona chokochoko zikasimama ghafla kukawa kimya mpaka Trump kuondoka kwake madarakani.
Ndio mtulie Sasa!Mkuki Kwa NguruweWapi ilisemwa kwamba USA to Iraq, Libya Na Israel to parestina hivyo sio vitendo vya kihalifu?
Kwanini unaona ni sahihi kuhalalisha ubaya kwa ubaya mwingine?.
Nani watulie sasa? Yaani wewe vita na mauaji havikusumbui, kinachokusumbua ni nani anaua?Ndio mtulie Sasa!Mkuki Kwa Nguruwe
Mrusia mtu mbadi lazima aogopwe