NAOMBA NISEME VIKWAZO KWA RUSSIA VITATIKISA DUNIA NZIMA
Armed Forces of Ukraine are firing from a residential area, Sumy region
View attachment 2136540
500 mkuu, wizara ya ulinzi ya urusi imetoa taarifa leo https://www.rt.com/russia/551084-military-fatalities-in-ukraine/
Sawa mkuu[emoji4]500 mkuu, wizara ya ulinzi ya urusi imetoa taarifa leo https://www.rt.com/russia/551084-military-fatalities-in-ukraine/
kwani tanzania ni makaburini?HV mtanzani akiuwa huko urkrain maiti yake itakuja huku kweli utaratibu ukoje ikitokea Rai wetu wamefarika au ndio tutapoteza mwili kbsa
Hio taarifa imetolewa na serikali ya urusi , wanakiri kupoteza idadi hiyo ya wanajeshi
Swali dogo sana hili ukijua operators wa Soviet made weapons ni kina nani, silaha gani zilitengenezwa na Soviet Union na bado zinatumikaHalafu nawashangaa humu wanasema Ukraine kapewa msaada Su-29 na MiG!? Wat the stupid is this. Hizi ni ndege za Russia. Kwahiyo Russia inampatia Ukraine msaada ili kupambana na Russia!?
Wanajeshi wa urusi waliopoteza maisha wanaoripotiwa kwenye link hiyo ni 498, na takriban 1600 wamejeruhiwa.RT Hao, wizara ya ulinzi ya urusi inaripoti https://www.rt.com/russia/551084-military-fatalities-in-ukraine/
Hawa jamaa wapuuzi waongo. Nimechoka kuwa nahoji taarifa zao za uchochoroni, tangu lini battle plans zikawekwa kwenye vehicle frontline, kwani HQ kazi yake nini. Yani documents za juu kabisa kuhidhinisha vita, zenye saini na mhuri eti wanajeshi waende nazo vitani. Makamanda wakubwa wote wako Moscow wamekaa, hata makamanda wa military districts za Russia hawako Ukraine sasa unaanzaje kupeleka hizo taarifa, unampa nani
4.3% ndogo mno itakuwa covered na suppliers wengineMambo yashaanza UK hukoView attachment 2136546
Bora wao Russia wanaongea ukweli, ona hawa Ukraine wanavyoficha idadi ya wanajeshi waliokufa.Kumbe Russian Soldiers wameuawa wengi tu, mia tano sio kidogo na tena hiyo wamekiri wenyewe kabisa na kama ni hivyo utakuta wameuawa wengi zaidi ya hao. Vita havina cha Super Power.
yes kila upande umetoa takwimu zaView attachment 2136552ke, but km kawaida ya vita kila mtu hutoa takwimu ndogo za casualities tofauti na uhalisiaWanajeshi wa urusi waliopoteza maisha wanaoripotiwa kwenye link hiyo ni 498, na takriban 1600 wamejeruhiwa.
Na kwa upande wa Ukraine wanajeshi walioripotiwa kufa sio chini ya 2870, wakati majeruhi ni 3700 na mateka ni 572.
Mzee sijakuelewa unachoongea. Hebu rudia tena. Katika hizo nchi zilizokuwa Soviet nchi ipi inatengeneza SU and MiGSwali dogo sana hili ukijua operators wa Soviet made weapons ni kina nani, silaha gani zilitengenezwa na Soviet Union na bado zinatumika
Bila kuwa na Russia ama Ukraine wa Kimasichana ama kwa Bibi Nyau na Kwa Mtogole, Jamii Forums hainogi. Ha ha haaa!!! (jokes).Hapo mwisho umeandika " Dawa ya NATO inachemka". Yaani umezungumza Kimamlaka kabisa. Hakika JF kiboko yaani hadi Russia Defense Minister yumo humu
Hata mmoja ni wengi kama unajua thamani ya uhai.Kumbe Russian Soldiers wameuawa wengi tu, mia tano sio kidogo na tena hiyo wamekiri wenyewe kabisa na kama ni hivyo utakuta wameuawa wengi zaidi ya hao. Vita havina cha Super Power.
hakuna anaeongea ukweli kila mtu anapiga propaganda, takwimu zinazotolewa na ukraine na urusi zote ni za uongo kila mtu kapoteza mara kadhaa zaidi ya hao sema huwez sema ukweli wakati watu wako vitani unashusha morali na kuingiza uogaBora wao Russia wanaongea ukweli, ona hawa Ukraine wanavyoficha idadi ya wanajeshi waliokufa.
Ila wanakiri kuwa kila saa wanapoteza raia na wanajeshi wao wa Ukraine.
View attachment 2136558
Ndio maana rais wao analia lia kuwa Russia wanataka kuifutilia mbali Ukraine ktk uso wa dunia.
Kweliii mkuuAzamtv naona nao wameifungia RUSSUA TODAY TV[emoji26]
Wanataka tusikilize propaganda wanazoaka wao mbuzi mabeberu Hawa[emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh, hivi kweli mkuu kwa comment yako hiyo umeelewa maana ya 'UK grocery inflation hits 4.3%'4.3% ndogo mno itakuwa covered na suppliers wengine