President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Sweden waache shobo.Ndege vita nne za Russia zalaumiwa kuingia pasi na taarifa ktk anga la Sweden siku moja baada ya waziri mkuu wa Sweden kutangaza kuwa serikali yake itaimarisha zaidi nguvu za kijeshi za sweden kufuatia uvamizi wa Ukraine. Maafisa wa jeshi wa Sweden wamesema kuwa ndege hio ni SU-24 (mbili) na SU-27 (mbili).
View attachment 2136943
Swedish defense minister calls Russian violation of airspace 'unacceptable'
Four Russian fighter jets briefly entered Swedish territory over the Baltic Sea on Wednesday. Swedish Defense Minister Peter Hultqvist said. "The Russian violation of Swedish airspace is of course com...uk.news.yahoo.com
Hao ni wajinga tuu huwa wanaongea afu hakuna kitu wanaweza kufanya..Ndege vita nne za Russia zalaumiwa kuingia pasi na taarifa ktk anga la Sweden siku moja baada ya waziri mkuu wa Sweden kutangaza kuwa serikali yake itaimarisha zaidi nguvu za kijeshi za sweden kufuatia uvamizi wa Ukraine. Maafisa wa jeshi wa Sweden wamesema kuwa ndege hio ni SU-24 (mbili) na SU-27 (mbili).
View attachment 2136943
Swedish defense minister calls Russian violation of airspace 'unacceptable'
Four Russian fighter jets briefly entered Swedish territory over the Baltic Sea on Wednesday. Swedish Defense Minister Peter Hultqvist said. "The Russian violation of Swedish airspace is of course com...uk.news.yahoo.com
Ayo majina yanahusiana na nini na huyo mtu? Mimi naitwa Frank na Namuunga mkono Vladimir PutinUkikutana na mtu anaitwa juma,Musa,mahmudu, Abdul, salum, hamadi, ommary, nk Hawa ni watu ambao huwezi ukawaambia chochote juu ya putin wakakuelewa maana wanamahaba nae yaani Kama unakazi nyingine za kufanya kazimalizie tu ... You will thank me letter.
Marekani yalalamika kuwa India na United Arab Emirates (UAE) zipo kwenye Camp ya Russia (Timu Russia).
Russia Ukraine Latest News: US recalls cable saying India, UAE in 'Russia’s camp': Report | India News - Times of India
India News: US diplomats were instructed to inform their Indian and UAE counterparts that their position of neutrality on Ukraine put them in 'Russia's camp', acctimesofindia.indiatimes.com
Juzi kiongozi wa Iran alimwambia raisi wa Ukraine ya kwamba alifanya kosa kubwa sana kuiamini Marekani na asipo shutuka nchi yake itasambaratika kabisa.Bado Iran hajaonesha makucha yake.
Propaganda mchicha.Kumekucha
Nakumbuka Urusi mwaka inamtia mkwara Dubai kuwa itapita na ndege huku ikipenga mavi ya nguruwe na kuchafua nyumba zote huko makaHao ni wajinga tuu huwa wanaongea afu hakuna kitu wanaweza kufanya..
Kinachoitwa ustaarabu huwa ni ujinga na uoga,kwa nini uogope kujihami as if hutokufa hapa Duniani?
Stupid,na atapita kwingine hakuna watakachomfanya.
Duh watu mnafurahishaTayari Jeshi la Russia limezunguka miji yote mikubwa ya Ukraine. Kuna rafiki yangu General ya jeshi la Russia tulikutana naye Syria. Kaniambia, kinachosubiriwa sasa hivi ni mazungumzo kati ya Russia na Ukraine yaliyopangwa leo asubuhi.
kwan c tuliwaambia kua RUSSIA sio ZIMBABWE?Hao ni wajinga tuu huwa wanaongea afu hakuna kitu wanaweza kufanya..
Kinachoitwa ustaarabu huwa ni ujinga na uoga,kwa nini uogope kujihami as if hutokufa hapa Duniani?
Stupid,na atapita kwingine hakuna watakachomfanya.
Ingeenda kiwepesi lazima Taiwan ingepelekewa motoIntelijensia za wamagharibi zaonesha kuwa mwanzono mwa February maafisa wa China waliwaomba maafisa wa Russia wacheleweshe kidogo oparesheni hii ya kijeshi mpaka mashindano ya Olympics yapite. Kwa maana China na Russia walijadiliana pembeni juu ya jambo hilo kabla ya kutokea.
View attachment 2136915
Umefurahi kumbe. Chukua Sportsman mbili nitakuja kulipiaDuh watu mnafurahisha
Ina maana nchi za Afrika zote zinamsaport Urusi
Hii haitokuja leta chuki kwa waafrika walioko Ukraine
Hii ni operation ya kijeshi ya Israel dhidi ya hamas ,hili jengo ni wanamgambo wa hamas huko gaza nakumbuka hii operation n ilifanyika mwaka jana[emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2136917