LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nyamizi ni shemeji yangu. Matani yangu na yeye wengine msiingilie.
Nyamizi ni mwanamke mzuri, macho yake kama ya hua, mashavu yake kama komamanga aka Apple.

Shemeji usinune, nakupenda hivyo hivyo.
Komamanga sio Apple wewe zelensky. Hizo commedy zako Putin hazitaki wewe endelea kujikuta amita bacchan kwenye uwanja wa vita
 
Komamanga sio Apple wewe zelensky. Hizo commedy zako Putin hazitaki wewe endelea kujikuta amita bacchan kwenye uwanja wa vita
Dah!! Unanikosea sana Comrade. Mimi na Putin ni marafiki wakubwa mno. Mimi ni m Socialist wa kweli kabisa siyo maigizo.
 
Yaani anamawazo ya kishetani kabisa. Hawezi hata kujali maisha ya raia wa kawaida kabisa ambao hawajui na hawahitaji chochote kwenye siasa.

Nyamizi nimemdharau sana. Nchi kama Tanzania tumeonesha ukomavu huko UN.
Hata wao hawatujali iweje Nyamizi hawajali? Hata mm siwajali kabisaaaaaa kwa sababu madhira yaliyotukuta cc wao hawakusimama pamoja na cc. Hata mm napenda majivu kyiev. #IstandwithPutin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…