kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hizo trions ingependeza kama ungeziainisha kama ni dollar,tsh,Ili tukuelewe vyemaBado ni pesa ndogo kwao, nafikiri ndo maana US ameamua kutenga bajet ya miaka mitano, akiamini ndani ya miaka hiyo mitano loss itakuwa kubwa zaidi kwake.
Assume ni kama trilion 45 mpaka sasa walotumia, hii kwa miezi 6, ndani ya mwaka assume ni 100trilion. So ndani ya miaka mitano ofkoz loss yake si ya kitoto, sioni nguvu ya Russia kuendelea na hii vita muda mrefu zaidi kama vile wenzake walivyojipanga.
Sure.Ndio maana nakwambia kuwa bado ni mapema sana kujivunia hayo mafanikio unayodhani urusi wameshapata..,watu wamedhamilia kuipigania ardhi Yao kwa miaka 5 ikibidi
Nakumbusha tu hata dikiteta Hitler alikuwa ameshakaribia kabisa katika viunga vya mji wa Moscow.. lakini unajua kilichofuatia?
Hivyo hata dikiteta Putin kuchukua miji miwili mitatu,usione kama amewin saana,
Super pawer anazidi kuvuliwa nguo tu anabaki uchi Sasa [emoji12]Tazama video game ya mateka wa kirusi walivyo wapole kama sio wao vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]Sure.
Alichukua kharkiv, alichukua snake island na vyote hivi ameachia, popote Russia alipokamata, uwezekano wa kuachia ni mkubwa.
Tukumbuke ile kauli kuwa, lengo la magharibi ni kuona vita inachukua muda mrefu, sasa vita inachukuaje muda mrefu pasipo mapigano?
Ni lazima Russia iingie ndani ya Ukraine ili Ukraine ipambane, Russia kushikilia hayo maeneo haimaamishi kuwa atashinda hii vita.
Sure.

Sio ameshindwa mkuu, ngoma ya Kyiv sio ya kitoto, pagumu pale.Kama mmeshindwa kupiga Kyiv leo Independence day nyie Russia ni mbuzi tu yani adui anafanya maonesho ya equipments za kivita alizokupora na wewe unaangalia tu Russia kama kashindwa kurusha hata fataki leo Kyiv basi hii vita hatoboi hata kwa dawa ni Mafamba tu pro Russia wote

Hii habari ina ukweli kwa 100%. Mambo ni magumu kwa upande wa Russia, kwa sasa anatumia nguvu kubwa zaidi kuhold mafanikio aliyoyapata.Wakuu, nimekosa muda kidogo kufuatilia majadiliano katika uzi huu.
Ila sasa naona taarifa ambayo wengi wetu watapenda kuiona.
Katika mahojiano na taasisi ya Kirusi “Center for Applied Research and Programs (PRISP)” mtaalamu wa mambo ya kijeshi Ruslan Pulkhov aliongea kuhusu matatizo ya jeshi la Kirusi katika “operesheni” huko Ukraine. Anataja matumizi ya silaha za kale, uhaba wa silaha za kisasa na idadi ndogo ya askari.
Kama mmoja kati yetu ana sababu za kuona habari si kweli basi aseme.
Ukraine-Russia war: Kremlin military expert admits army weaknesses
"It's like a gladiator fight"
Military expert from Russia admits significant weaknesses of the Kremlin army
Outdated Soviet tanks against modern NATO systems, barely enough soldiers: Analyst Ruslan Pukhov, who is loyal to the Kremlin, has criticized his own army with unusual sharpness. And outlines when it could fail completely.
08/16/2022, 11:23 am
… Now the Russian military expert Ruslan Pukhov has criticized the success of the Kremlin troops with rare frankness. In an interview with the Russian analysis company Prisp, he attested to the Russian army's considerable problems.
Puchow criticized the use of outdated weapon technology and too few soldiers. The Russian Air Force also works far too imprecisely. Above all, the equipment of the Ukrainian army with modern weapon systems from the West makes it difficult for Russia to celebrate great successes.
"Not quite fair"
In Ukraine, for example, Russia is still relying too heavily on outdated tanks like the T-90. It was "a tuning of a Soviet tank". According to the military expert, it is "not entirely fair to require it to successfully withstand the latest anti-tank systems such as Javelin, NLAW or Matador". The Air Force is also outdated. There is hardly enough precision ammunition and detection and targeting devices to break through the still strong Ukrainian air defense system. Ukraine has also received many portable anti-aircraft systems from the West, which means that Russia can hardly operate effectively.
Puchow also identified a “significant deficiency” on the ground: the number of deployable soldiers. "The front is large and there aren't enough forces," says the expert in an interview. “The Ukrainians are on the defensive, they have a lot of artillery and fighter planes. We, on the other hand, have to break through the front with an insufficient number of soldiers and vulnerable tanks and armored personnel carriers.«
Soma yote:
Ha ha ha ha ha hatari saana.Tazama video game ya mateka wa kirusi walivyo wapole kama sio wao vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona Russia wameruhusu interview ya Aina hiyo, wakati ipo sheria inayosema hakuna kuzungumzia SMO inavyoendelea ujue there is something fishy to the whole thing...use your brain...Wakuu, nimekosa muda kidogo kufuatilia majadiliano katika uzi huu.
Ila sasa naona taarifa ambayo wengi wetu watapenda kuiona.
Katika mahojiano na taasisi ya Kirusi “Center for Applied Research and Programs (PRISP)” mtaalamu wa mambo ya kijeshi Ruslan Pulkhov aliongea kuhusu matatizo ya jeshi la Kirusi katika “operesheni” huko Ukraine. Anataja matumizi ya silaha za kale, uhaba wa silaha za kisasa na idadi ndogo ya askari.
Kama mmoja kati yetu ana sababu za kuona habari si kweli basi aseme.
Ukraine-Russia war: Kremlin military expert admits army weaknesses
"It's like a gladiator fight"
Military expert from Russia admits significant weaknesses of the Kremlin army
Outdated Soviet tanks against modern NATO systems, barely enough soldiers: Analyst Ruslan Pukhov, who is loyal to the Kremlin, has criticized his own army with unusual sharpness. And outlines when it could fail completely.
08/16/2022, 11:23 am
… Now the Russian military expert Ruslan Pukhov has criticized the success of the Kremlin troops with rare frankness. In an interview with the Russian analysis company Prisp, he attested to the Russian army's considerable problems.
Puchow criticized the use of outdated weapon technology and too few soldiers. The Russian Air Force also works far too imprecisely. Above all, the equipment of the Ukrainian army with modern weapon systems from the West makes it difficult for Russia to celebrate great successes.
"Not quite fair"
In Ukraine, for example, Russia is still relying too heavily on outdated tanks like the T-90. It was "a tuning of a Soviet tank". According to the military expert, it is "not entirely fair to require it to successfully withstand the latest anti-tank systems such as Javelin, NLAW or Matador". The Air Force is also outdated. There is hardly enough precision ammunition and detection and targeting devices to break through the still strong Ukrainian air defense system. Ukraine has also received many portable anti-aircraft systems from the West, which means that Russia can hardly operate effectively.
Puchow also identified a “significant deficiency” on the ground: the number of deployable soldiers. "The front is large and there aren't enough forces," says the expert in an interview. “The Ukrainians are on the defensive, they have a lot of artillery and fighter planes. We, on the other hand, have to break through the front with an insufficient number of soldiers and vulnerable tanks and armored personnel carriers.«
Soma yote:
Samahani mkuu hii sheria ya "hakuna kuzungumzia SMO inavyoendelea"?? Nimeona mara kwa mara taarifa kuhusu talkshow kwenye TV ya Urusi ambako wanajadili vita (samahani: SMO!) kwa namna mbalimbali. Habari ya sheria hiyo umepata wapi? Nashukuru kuona chanzo.Ukiona Russia wameruhusu interview ya Aina hiyo, wakati ipo sheria inayosema hakuna kuzungumzia SMO inavyoendelea ujue there is something fishy to the whole thing...use your brain...
Ngoja nimtag T14 ArmataWasikilize mabosi wako wanavozungumzia kipigo kitakatifu kwa NATO .
[emoji635][emoji1255] "Moscow has successfully demilitarized NATO" - Scott Ritter.
Former American intelligence officer Scott Ritter said that the North Atlantic Alliance, trying to provide military assistance to Ukraine, significantly weakened itself, and that now it will not be able to quickly restore its defense capability.
"Russia destroyed the arsenal of Ukraine, which was at the disposal of the second army of Europe even before the start of NATO deliveries, and then destroyed everything that the alliance transferred to Kiev, thereby completely destroying its supplies," he said.
[emoji832] According to Ritter, NATO support did not help the Ukrainian army - it is still in a depressed state, while Western weapons were simply destroyed.
[emoji832] Ritter also noted that some alliance countries have completely stopped deliveries, as they ran out of supplies that could be sent to the Ukrainian military.
[emoji832] He also reminded that the bloc cannot quickly regain its former level of defense capability due to a weak industrial base that requires serious modernization.
Shida ya Mrusi bado hajaelewa kuwa hao western including USA wanataka aendelee kupigana hata miaka 3 ili mrusi awe busy na vita visivyo isha na vinavyommaliza kiuchumi
Wakuu, nimekosa muda kidogo kufuatilia majadiliano katika uzi huu.
Ila sasa naona taarifa ambayo wengi wetu watapenda kuiona.
Katika mahojiano na taasisi ya Kirusi “Center for Applied Research and Programs (PRISP)” mtaalamu wa mambo ya kijeshi Ruslan Pulkhov aliongea kuhusu matatizo ya jeshi la Kirusi katika “operesheni” huko Ukraine. Anataja matumizi ya silaha za kale, uhaba wa silaha za kisasa na idadi ndogo ya askari.
Kama mmoja kati yetu ana sababu za kuona habari si kweli basi aseme.
Ukraine-Russia war: Kremlin military expert admits army weaknesses
"It's like a gladiator fight"
Military expert from Russia admits significant weaknesses of the Kremlin army
Outdated Soviet tanks against modern NATO systems, barely enough soldiers: Analyst Ruslan Pukhov, who is loyal to the Kremlin, has criticized his own army with unusual sharpness. And outlines when it could fail completely.
08/16/2022, 11:23 am
… Now the Russian military expert Ruslan Pukhov has criticized the success of the Kremlin troops with rare frankness. In an interview with the Russian analysis company Prisp, he attested to the Russian army's considerable problems.
Puchow criticized the use of outdated weapon technology and too few soldiers. The Russian Air Force also works far too imprecisely. Above all, the equipment of the Ukrainian army with modern weapon systems from the West makes it difficult for Russia to celebrate great successes.
"Not quite fair"
In Ukraine, for example, Russia is still relying too heavily on outdated tanks like the T-90. It was "a tuning of a Soviet tank". According to the military expert, it is "not entirely fair to require it to successfully withstand the latest anti-tank systems such as Javelin, NLAW or Matador". The Air Force is also outdated. There is hardly enough precision ammunition and detection and targeting devices to break through the still strong Ukrainian air defense system. Ukraine has also received many portable anti-aircraft systems from the West, which means that Russia can hardly operate effectively.
Puchow also identified a “significant deficiency” on the ground: the number of deployable soldiers. "The front is large and there aren't enough forces," says the expert in an interview. “The Ukrainians are on the defensive, they have a lot of artillery and fighter planes. We, on the other hand, have to break through the front with an insufficient number of soldiers and vulnerable tanks and armored personnel carriers.«
Soma yote:
Mini miwili mitatu?Ndio maana nakwambia kuwa bado ni mapema sana kujivunia hayo mafanikio unayodhani urusi wameshapata..,watu wamedhamilia kuipigania ardhi Yao kwa miaka 5 ikibidi
Nakumbusha tu hata dikiteta Hitler alikuwa ameshakaribia kabisa katika viunga vya mji wa Moscow.. lakini unajua kilichofuatia?
Hivyo hata dikiteta Putin kuchukua miji miwili mitatu,usione kama amewin saana,
British consumer price inflation is set to peak at 18% - nine times the Bank of England's target - in early 2023, an economist at U.S. bank Citi said on Monday, raising his forecast once again in the light of the latest jump in energy prices.Shida ya Mrusi bado hajaelewa kuwa hao western including USA wanataka aendelee kupigana hata miaka 3 ili mrusi awe busy na vita visivyo isha na vinavyommaliza kiuchumi