Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

T 90 kifaru Cha kizamani. Hii miujiza.
 
Uchumi wa European countries umekuwa una enjoy Sana cheap industrial inputs. Kuanzia kipindi cha zamani cha ukoloni kwa nchi za Africa.

Hii Vita ndio imetufanya tujue kwamba Russia imekuwa basket ya "cheap industrial inputs"

Sasa hivi wanakosa hizo cheap inputs ndio maana kwenye economy adjustments, ndio tunaona hizo inflation. Hii Inflation itaendelea kuwepo mpaka economy iwe kwenye balance.
 
Kabisa MKUU
Nandio maana PUT IN akatahadharisha kwamba dunia haitakua kama ilivyokua kabla wakati wa na baada ya SMO
Acha tuone MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu sasa hivi tuna watoto wengi sana na pia kwa siri sana hawaifurahii sijui Ukraine wala NATO hapana,wanafurahia chama chao kwa sababu ndio kinaongoza vita dhidi ya mrusi.
 
Kumbe Urusi ni habari sana,kama amepeleka wanajeshi wachache kiasi hicho na bado anatumia zana za kipindi cha Soviet na bado anapeleke moto dhidi ya zana za kisasa za NATO siku akiamua atumie zana za kisasa-hao Ukraine & NATO si watajknyea.
 
Huyu jamaa ni mpinzani kama Navalny
 
Sisi Russia tunabamiza tu. Hatuchagui pa kupiga si mnawaficha wanajeshi wenu kwenye maeneo ya huduma za kijamii. Tumeshagundua mbinu yenu sisi tunakiwasha tu 💥💥💥

Nearly 100 dead in attacks on Ukraine healthcare: WHO​

There have been 473 verified attacks on healthcare in Ukraine since Russia invaded six months ago, which have killed nearly 100 people, according to the WHO.

At least 15 died in Russian attack on Ukraine station: Zelenskyy​

At least 15 people have died and 50 more have been wounded when Russian forces launched a rocket attack on a Ukrainian railway station, according to President Volodymyr Zelenskyy.

Russia launched deadly attack at railroad station in central Ukraine, Zelenskyy tells UN​

Russia has launched missiles at a railroad station in Ukraine’s central-eastern Dnipropetrovsk region, the country’s president has told a meeting of the United Nations Security Council.
 
Hawakulijua hilo?tumewaambia dunia inamuhitaji Urusi wanarusha ngumi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumekuchaa !! Biden kamwaga tena 3bn Dollars kwa Ukraine.. kazi ipo aisee !!
Ni Tshs.. Trillion 7 - Afu eti Warusi wa Buza wanasema hela haipigani vita !!!

Biden announces nearly $3bn in US military aid to Ukraine

The United States has announced nearly $3bn in new military aid to Ukraine, with President Joe Biden saying the assistance aims to help the country defend against Russia’s invasion “over the long term” as the war entered its seventh month.

Biden said the $2.98bn package would allow Kyiv to acquire air defence systems, “artillery systems and munitions, counter-unmanned aerial systems, and radars”.

Hii vita si ya kuisha leo, mrusi anapelewa kwenye kona mdogo mdogo !!

​

 
Ukraine baada ya vita atakuwa na deni litakalolipwa Hadi na vitukuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…