Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Condemn ni kulaani SIO kulalamika, nenda kwa Ras Simba ukaboreshe ki malkia chako.
 
Baada ya kuona mambo ni magumu na vifo vya mfululizo wa wanajeshi wake, Putin kasign kuongezwa kwa idadi ya wajeda nchini Urusi.

Russian President Vladimir Putin has ordered the Russian military to increase its number of soldiers by 137,000 to a total of 1.15 million servicemen amid Moscow’s military action in Ukraine.

Putin’s decree, which takes effect on January 1, did not specify whether the military will beef up its ranks by drafting a bigger number of conscripts, increasing the number of volunteer soldiers or using a combination of both.
 
Naona BBC dawa imeanza kuwaingia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2335105
Hiyo ni nzuri sana, maana mashambulizi ya urusi yamezuiwa, hawasongi mbele Tena kama ilivyokuwa mwanzo. , Lakini wakati huo huo kuendelea kuwepo huko Ukraine Bado ni ghalama ..,Ina maana lengo la magharibi la kutaka vita iwe ya muda mrefu naona linatimia vyema

Zelensiky anaalikwa kwenye meza ya mazungumzo anakataa..,hii Ina maana kwamba wanatamani kuona vita ikiendelea

Shikilia hapo rais zelensiky [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
 
Kila muda wanakuja na game changer [emoji3][emoji3]
 
Jiji la The Hague nchini Netherlands limesema linajitoa kwenye vikwazo vilivyowekwa na EU juu ya gesi ya Urusi...Jiji linasema limekosa mbadala wa gesi ya Urusi, hivyo linarejea kwa Urusi kuomba kuendeleza mkataba wa kugaiwa gesi

 
Tazama hii warusi wanashuka kwenye kifaru wakaangushiwa bomu wote waefia hapo chini

hayo mabomu itakuwa wanadondoshea humu au mbna hatuoni jeshi la urus likirudi nyuma,hatuon miji ikikombolewa hlo daraja crmea lipo
nahsi mahala kuna tatzo make
hata mwanamke akiwa anapgwa na mumewe huwa anatoa kelele sanaa
 
bbchenga anadai silaha za western kuiondoa russia kazi ngumu
 
⭕️ در زمستان سرد خواهید بود، زیرا آن‌ها بیشتر به آن نیاز دارند

🔰پوستری حاوی این کلمات در خیابانی در لندن ظاهر شد. آشکارا این دیدگاه کنایه آمیز را بیان می‌کند که میلیون‌ها انگلیسی در زمستان امسال نمی‌توانند خانه‌های خود را گرم کنند. با این حال، در همان زمان، دولت آن‌ها میلیارد‌ها دلار برای حمایت از اوکراین ارسال می‌کند.

⭕️You will be cold in winter because they need it more

🔰poster with these words appeared on a street in London. It clearly expresses the ironic view that millions of Britons will not be able to heat their homes this winter. Yet at the same time, their government is sending billions of dollars to support Ukraine.

🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…