Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tazama mjeshi wa kirusi ananyooshea dole la kati drone tazama mpaka mwisho kilichowakuta base base imeshambuliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Endelea kuwavunja moyo Hawa pro-Russia ndugu yangu VUNJO [emoji2]
 
Translated:"They are dead here, they will go home in black bag"
Hawa na wajeda wa kirusi waliouliwa Kherson jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Tazama video games warusi wakishambuliwa live kipigo ni cha mbwa koko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Translated:"They are dead here, they will go home in black bag"
Hawa na wajeda wa kirusi waliouliwa Kherson jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watakwambia ni video game.., lakini inasikitisha aisee.., dikiteta kaamua kwa makusudi mazima kuwapelekea machinjioni watoto wa mother Russia
 
Tazama video games warusi wakishambuliwa live kipigo ni cha mbwa koko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Punguza spaner mkuu, naona unawakaza mno wafuasi wa super pawer wa mchongo [emoji91][emoji1255]
 
Translated:"They are dead here, they will go home in black bag"
Hawa na wajeda wa kirusi waliouliwa Kherson jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii ni hatar sana aisee [emoji848]
 
Wamedandia mtumbwi wa putin
--------

Three Ukrainian saboteurs who tried to seize the ZNPP were taken prisoner, two of them are in serious condition, the authorities of the Zaporozhye region .
Sikilimimimasikini kwenye habari yake anariport kuwa walikuwa makomandoo 60 Sasa wewe nashangaa umeandika 3 tu [emoji2][emoji2]
 
Nimeanza kuwaonea huruma Ukraine wengi wanakufa ma hospitaal wamejaa majeruhi kuna video unaziona jinsi walivyoungua mpaka mwli unasisimka.

Ukraine wakubali tu yaishe. Maana mpaka sasa kuna lundo la raia wa Ukraine kwenda Russia bado askari wao wanaojisalimisha ni wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…