Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia ni nchi tajiri sana kupita hata hiyo Saudi Arabia. Kufanya Mambo Kama haya sio ishu kubwa kwa resources alizokuwa nazo.
 
People all over the World are waking up to the evil of the West!Hawa vijana wa JF ambao bado wanaishabikia US,NATO na the West ngoja waendelee kupumbazika.But time will come,and not too far away,may be by December this year,the evil of the West will be "too" obvious for anybody to deny.
 
Halafu hawa wapuuzi wanaendelea kudai Ukraine inashinda,nchi ndio inakwenda hivyo.
 
The entire Wenceslas Square demands the resignation of the government! We will demand that the current cabinet, which is working against us, resign”:

A 70,000-strong rally was held in Prague Also demand lower gas and electricity prices and neutrality on the conflict in Ukraine
 
Tazameni hii video mpaka mwisho muone jamaa walivyo kufa na wengine kukimbia wameacha silaha zao nyingi hii ndio Counter offensive sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dikiteta anashushiwa kipigo heavy [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
 
Huyu mjeda sichoki kumuangalia aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi ni fake news Kipanya,msiwe mnatuletea hapa, be smart.Kumbukeni kuwa hapa JF kuna watu wenye akili zao.Kuokoteza okoteza vitaarifa vya kipuuzi na kuvileta hapa is unacceptable.Huo ni ushabiki wa kijinga,bring credible news from credible sources.Tupo hapa kujifunza,msituletee taka taka.
 
Mwanajeshi mmoja huyo. Imagine superpower analazimika kuandika headline kisa mwanajeshi kujisalimisha kutoka kwenye trench. Kwani hujui kuwa Ukraine inao POW
Shida yangu ni kuwa habari hii mlikuja nayo Pro NATO na kuandika Russia wajisalimisha Kwa kupunga bendera nyeupe,kumbe mmegeuza habari!
Sasa Je,ni ngapi za michongo mnazoleta?
 
This is Russia yani anapiga mji alafu anaujenga
 
Hii ndo unaona fake News, lakini zile article zenu za kuokoteza kwenye telegram za warusi huko na kuleta hapa ndo unaona zina ukweli,sio?
 
Hahaha hii video ndio wanasema ni wanajeshi wa Ukraine aisee warusi wanachekesha sana toka lini mlianza kurekodi video kwa drone za matukio endeleeni kujitoa ufahamu

Jamaa wamebaki kutapatapa tu, kipigo kimewachanganya [emoji1787][emoji1787]
 
Pro nato this is wake up call kwenu narudia tena uchumi wa ulaya bila Russia ata mwaka auchukui una collapse wote mfano ni kama iki kinachoendelea kutokea western walizoea Cheap energy kutoka Russia yani Ulaya walikuwa wanauziwa gesi na mafuta kwa bei ya kutupa leo hii mambo yamebadilika kila mtu anaona kinachotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…