kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Naomba tu kuuliza,hizo unazoita "wartime resources" hambazo unaaamini urusi anazo za kutosha, hawezi kuzitumia bila kufanya full mobilization?ni kweli ila siamin km mrusi keshatumia wartime resources zake, resources za full mobilisation atakua nazo sema tu inahtaji maamuz magumu ya kisiasa kuanzisha full war, pamoja na setbacks anazopata still urusi ni taifa lenye nguvu kubwa
Jeshi kama jeshi uwezo wake umeishia hapo!. Kilichobaki labda ni Nuclear weapons baasi.ni kweli ila siamin km mrusi keshatumia wartime resources zake, resources za full mobilisation atakua nazo sema tu inahtaji maamuz magumu ya kisiasa kuanzisha full war, pamoja na setbacks anazopata still urusi ni taifa lenye nguvu kubwa
cjaingia na mda hli jukwaa mkuu nipe sumaryUrusi haijawahi kuniangusha
Nalog off Z
Washawasha upo mkuu umepotea sanaUrusi haijawahi kuniangusha
Nalog off Z
kweli kabisa mkuu, uwezo anao but consenqunces za hatua hio zina hasara kubwa kuliko faida maana ht backers wake km china wao wanapendelea vita ipoe waendelee na mambo yao na si vita izidi waendelee kuneutralize sanctions kwa niaba ya putin, ndio maana ht pelosi alipoenda taiwan hawakuovereact hawakutk kuingia mtegon, wao wanajua kumpiku muamerica wanahitaj tu nutulivu ili waendelee na mikakati yao waliyonanayo sasa ambayo inaonekana kufanikiwaNi kweli kinachomzuia Russia kufanya full mobilization ni politics, sio uwezo wa kijeshi. Jeshi uwezo linao sana ila sababu ya kupigana kwa sasa hivi haipo, ni political risk kufanya mobilization ovyo ovyo hasa hasa nchi yenyewe ndio hii mkono wa chuma viongozi wanaishi kwa timing
Fact.Jeshi kama jeshi uwezo wake umeishia hapo!. Kilichobaki labda ni Nuclear weapons baasi.
Kama conventionally angekuwa na uwezo mwingi zaidi angekuwa ameshaiteka Donetsk nzima saa hizi, lakini so far kafanikiwa kuichukua Luhansk peke yake ila Donetsk kaishika nusu!
Sikiliza ndugu yangu WARS ara all about Logistics. Ukifeli Logistics zako it doesn't matter una silaha gani katika hazina
Na strategists wa Ukraine wako smart. Walitumia miezi miwili iliyopita kulipua maghala ya silaha ya Urusi kwa kutumia HIMARS, matokeo yake Vikosi vya Urusi vilivyoko msitari wa mbele vinashindwa kupata necessary supplies.
Na kwa taarifa yako Winter inakuja, Askari wa Urusi hawana vifaa vya kujilinda na Winter. Watajisalimisha wenyewe!.
Timing ya ukraine ya counter offensive kwa kujua winter inakuja ni very brilliant, masna yake ni kuwa warusi wamekuwa disrupted wasijiandae nayo! . Wataishije na hili baridi sasa?
Putin hata mariopol hajawahi kanyagaWazee wa kaz
View attachment 2356673
mh mkuu ukraine hp keshatumia resources zake zote but urusi hajagusa resources zake za wartime,n unajua ht hao wanaotuma silaha ukraine na wenyew hawajatoa silaha zao za wartime hizo hazitoki mpk nchi iwe vitani, so mrusi nae km atahis hatari zaidi yake akaamua kutumia resources zake kamili hapatatosha ujueJeshi kama jeshi uwezo wake umeishia hapo!. Kilichobaki labda ni Nuclear weapons baasi.
Kama conventionally angekuwa na uwezo mwingi zaidi angekuwa ameshaiteka Donetsk nzima saa hizi, lakini so far
Timing ya ukraine ya counter offensive kwa kujua winter inakuja ni very brilliant, masna yake ni kuwa warusi wamekuwa disrupted wasijiandae nayo! . Wataishije na hili baridi sasa?
Au ange komaa Donesk na luhask tangu mwanzo saivi mambo yange kuwa smooth hata wanajeshi asinge poteza Wengi pia west kelele zingekuwa kidogo.tamaa zime mponzaFull mobilization lazima iendane na silaha bora, uwezo wa kulisha jeshi, logistics ziwe nzuri, na Training ya masoldier kabla ya kuwapeleka msitari wa mbele
Sasa Mrusi keshapoteza vifaa vingi vya maana pamoja na maaskari wake wengi wenye weledi. Mobilization sasa haiwezi kumsaidia, labda aungwe mkono waziwazi na Taifa jingine kubwa kama China kwa silaha na uchumi.
Angefanya mobilization mwanzoni mwa "operesheni" hali ingekuwa tofauti!
Evil doers are always like that, supporting each others. This one is killing kids and women,that one is raping and Having an affair with his friend's wife. Very frustrated individuals and they always playing victim cards.I am supporting Russia, I am a strong believer of the one and only Vladimir Putin in this war since the beginning.
Russia must win this war!
Wanaolialia ni Armenia, pamoja na kuwa na vikosi vya Russia mwaka 2020 walitandikwa na haikufanya lolote. Leo hii Russia imepeleka wanajeshi waende Armenia, anayejiliza nani hapoHakuna sehem nimekataa mapigano MKUU
Nimesema waazeri wanakila sababu yakuitwanga armenia kama wangekua nauwezo maana armenia wanakalia sehemu kubwa ya ardhi ya azer inayotambulika kimataifa
Ila kwakua jamaa uwezo hawana wanalia lia tuuu nakurusha vikombora viwili vitatu suluhu inapita
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja putin atue kherson
Mazishi tu mjini Moscow haendi. Vikao anakaa meza kubwa kama chumbaPutin hata mariopol hajawahi kanyaga
hahaha akikanyaga anaishia hukohukoPutin hata mariopol hajawahi kanyaga
hahaha hatariMazishi tu mjini Moscow haendi. Vikao anakaa meza kubwa kama chumba
.Wazee wa kaz
View attachment 2356673
Olympic sprinters[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12] Pro Russia mnaitwa kukanusha huku [emoji116]
Jibu ni sisi tunashabikia wauwaji. Tunashabikia israel kuuwa wapalestina, tulishabikia usa kuua walibya, tulishabikia nato kuuwa wanairaq na sasa tunashabikia urusi kuuwa wa ukraine. Sisi huwa tunashabikia yule tunayeona anashinda tu... watu wa ajabu wale Mkuu! Swali rahisi tu; ni kwanini wanashabikia Urusi kuivamia Ukraine, kuua wasio na hatia? Hawana majibu. Sana sana atajitokeza mmoja atakuuliza mbona Israel inavamia Palestina?