NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Ww mbona huwa una isupport Israel inapo uwa watoto wa kipalestina.KumSupport Putin anayeua raia wasio na hatia,wanawake na watoto,ni lazima uwe mvutaji wa bangi mzuri,tena ile ya makete au arachuga[emoji848]
Wewe Unaota ndoto za mchana baada ya kuvimbiwa.Ukreini ingekuwa imekaliwa na Russia,kusingekuwa na mashambulizi yanayoendelea.Russia walitegemea kitonga kwenye hii vita lakni wamekwama mpaka Sasa!ukrine kwa sasa ipo chini ya mrusi hakiingii kitu bila ruska ya urusi .zelensky kakikili nato waoga kilibaki ni vita za video za propaganda zidi ya warusi. wanaume wa ukraine wanavaa nguo za kike kisha kukimbia vita si mchezo kuhusu vita ya uchumi nakukumbusha urusi sio tandaimba au kwa mtogole rejea iran
Nimekuuliza swali kijana. Umewahi kuvuta bangi ukiwa chooni!?Wewe Unaota ndoto za mchana baada ya kuvimbiwa.Ukreini ingekuwa imekaliwa na Russia,kusingekuwa na mashambulizi yanayoendelea.Russia walitegemea kitonga kwenye hii vita lakni wamekwama mpaka Sasa!
Unamsapoti NATO aliyeua mamilion ya watoto Iraq Libya Vietnam Afghanstan etcKumSupport Putin anayeua raia wasio na hatia,wanawake na watoto,ni lazima uwe mvutaji wa bangi mzuri,tena ile ya makete au arachuga[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]nakuonea huruma maana Nina hakika bila Ud na ifm kua dar ungepaskia tuu kwenye bomba !shukuru sana![emoji2][emoji2][emoji2]ww nyanda za juu kusini huko mahindi yapoje siku hizi?
Israel na US hawana Nia na sio lengo lao kuanzisha vita Iran.Lengo lao ni kuSubbotage na kuharibu Vinu vya nyuklia nchini Iran!Ww si ndo uwa una sema eti Israel na Marekani inaweza kuipiga Iran ndani ya masaa 24?
Wewe mduanzi kuungana kwa NATO ni kuzuia athari za vita zisiwe kubwa Kwa nchi washirika.We boya unaongea nn?? Hao NATO wanaungana daily kwa ajili ya russia tu na bado hawamwezi. Usirudie kuandika pumba kama hii humu tena. Russia ukraine hajapeleka jeshi kabisa.
Waulize waliokuwa wnatuletea hizo habari hapa,ndiyo maana nikasema,nilidhani wamejifunza kutuletea habari za uhakika zenye mashiko,lakini bado wanaleta porojo zao zile zile kama mwanzoni mwa vita hii.Hizi habari za Russia kuivamia Ukraine na ndani ya 24hrs wamemaliza na kuifanyia Kiev majivu wewe umezipata wapi mkuu! Au ndio mnalishwa na kuchukua kila kitu mnachosoma mitandaoni. Operations za kijeshi sio chai ama urahisi kama tinavuotype kwenye keyboard zetu mkuu.
Nchi tajwa Hapo ,wengi ni magaidi wanauana wao kwa wao.Ukreini wanapambana na adui aliyetoka nje !Palestrina sio watu wanaikufa?
Libya
Iraq
Acha unyumbu
🤣🤣🤣🤣🤣 Mm nipo zangu Songea natia mbolea shambani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]nakuonea huruma maana Nina hakika bila Ud na ifm kua dar ungepaskia tuu kwenye bomba !shukuru sana![emoji2][emoji2][emoji2]
Wazawa wa Ocean road hatunaga mbwembwe tunaheshimu watu wote na miji yote ya Tanzania!
Akili kisoda kazungukwa na wadada ana mbwembweee huyu
Vladimir Putin warns that any no-fly zone over Ukraine will be viewed as an act of war