LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nilijua tu nikigusa panapouma mtafuruka kutoka Moscow ya kingolowila mkiwa mmefura kama mmemeza Bicarbonate soda ya kuumulia maandazi😂
Unajaribu kunogesha uongo huku NATO wanajua fikra vita na Russia sio ya kitoto na kujaribu kwenda vitani na Russia ni kujimaliza wenyewe. Ukraine kasema NATO ni waoga sana, sasa kama anasema hivyo huku akiwa jirani kabisa wewe unayeishi mchambawima huku ukikaza misuli ya kalio unabisha nini?

Jana jamaa walitaka kuweka eti No.fly.zone Ukraine lakini Putin akawaambia kufanya hivyo ni kiashiria cha vita wakawa wapole. Kama hujui warusi ni nani wewe subiri kipindi hiki, wale si walibya na wapo tayari kuungana kujenga nchi yao na kuilinda pia.

Sasa imefikia mahali Russia hamuamini NATO na hapo atajenga mifumo mingi ya hali ya juu ndani ya Ukraine na hapo kutakuwa na balance of power ulaya
 
Palestrina sio watu wanaikufa?
Libya
Iraq

Acha unyumbu
Hizo ndio hoja za BAVICHA akili zao za utumwa tu, akifanya mmarekani BAVICHA wanasema kina baraka za UN ila akifanya urusi kakurupuka. Uzuri Russia kaona UN ni barking dog kama ilivyokuwa League of Nation hivyo tutegemee vita kamili sasa
 
Hizo ndio hoja za BAVICHA akili zao za utumwa tu, akifanya mmarekani BAVICHA wanasema kina baraka za UN ila akifanya urusi kakurupuka. Uzuri Russia kaona UN ni barking dog kama ilivyokuwa League of Nation hivyo tutegemee vita kamili sasa
vita kamili tena? 😂😂 wakati leo mapigano yamesitishwa

gahwa mbaya sana
 
Hueleweki..wanawazuia kivip si umesema Russia imeshika nchi wanajesh wa Ukraine wanatokea wapi ss?
Mna ushabIki wa kindezi sana nyie watu. Mnachukulia operations za kijeshi kama siasa na Samia na Mbowe. Huoni kama Ukrainian forces wanawazuia watu wasiondoke ili kuweka chambo ya kujilinda na Russia, hadi Jana almost 1.5m wameondoka nchini kama wakimbizi, nyie mnadhani Ukraine ipo salama sana.
 
Unatamani Vita viendelee sio?..

Wanachofanya Ukraine wapo sahihi.....ni lazima Putin apate shinikizo kutoka kila pande asimamishe hii Vita.

...War is Evil....
 
Ukraine ipi ...!!!Russia huo ubavu Hana
 
vita kamili tena? 😂😂 wakati leo mapigano yamesitishwa

gahwa mbaya sana
Aliyekuambiwa Ukraine kuna vita nani, Ukraine kuna operation tu ya kijeshi tu, naweza kusema ni operation ndogo sana. Ulishawahi kuona vitani pande zote wanaomba kusimamisha mapigano kwa ajili ya jambo jingine?
 
Wewe Unaota ndoto za mchana baada ya kuvimbiwa.Ukreini ingekuwa imekaliwa na Russia,kusingekuwa na mashambulizi yanayoendelea.Russia walitegemea kitonga kwenye hii vita lakni wamekwama mpaka Sasa!
ebu niambia wamekwama wapi wahuni wamemuingiza dogo chaka alafu wakala kona
 
Hizi "ZANA" huzuia vifaru vya Russia visisonge mbele wakati vinasubiri hulipuliwa.Russia imepata hasara sana🤔
 
The Russian Defense Ministry showed footage of the advancement of airborne units in the Kiev region as part of a military special operation.
Your browser is not able to display this video.
 
Aliyekuambiwa Ukraine kuna vita nani, Ukraine kuna operation tu ya kijeshi tu, naweza kusema ni operation ndogo sana. Ulishawahi kuona vitani pande zote wanaomba kusimamisha mapigano kwa ajili ya jambo jingine?
Ona huyu naye..et operation ndogo , Raisi ametangaza ni full scale invasion alaf unasema operation ndogo , ?? Russia uwezo mdogo full stop ...case closed, now kaomba real combat imetokea ni mda wa kutuaminisha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…