kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Pro Russia mnachekesha kweli [emoji16] eti urusi aongeze majimbo mengine..., majimbo yenyewe aliyojimilikisha yapo nunsu nusu tu, hakuna Jimbo hata Moja analolimiliki kikamilifu [emoji2957]Ni kweli,hii itatokana na Ukraine wenyewe kama wakiendelea kukaza.
Yeah... Inafikirisha Sana.Ilikuwa inaitwa G8, Russia baada ya kuvamia na kuitwaa Crimea mwaka 2014 wakapiga kura ya kuitoa uanachama wakabaki wanachama 7 wakaiita G7
Humu kuna Pro-NATO wanakwambia Russia ni maskini, uchumi wake haufikii mataifa ya Ulaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii picha imeshapostiwa mara 210 Toka mwezi wa 2 Sasa hauna zingine tukupatie uwe unapost vitu currentKweli kabisa mkuu, hawawezi kuvumilia kuona miili ya askari wa urusi ikitapakaa namna hii,[emoji848]View attachment 2393486
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na hii imeshapostiwa mara ngapi[emoji1787][emoji2][emoji1787]Hii picha imeshapostiwa mara 210 Toka mwezi wa 2 Sasa hauna zingine tukupatie uwe unapost vitu current
Huyu nae watasema ni Muislam mvaa kobazi.A point for debate! Naipenda sana hii duo inayo onekana kwenye hii video. Aliyesimama na aliyekaa jirani yake.
View attachment 2393122
[emoji779]️"Why don't we have a problem with the fact that the US and NATO terrorize people in Afghanistan, Iraq, Libya? Or do we have a problem with the fact that the US + EU help the Saudis, the UAE to terrorize Yemen? Why do we have no problem with the fact that Israel terrorizing the Palestinians?
MEPs from Ireland are traditionally the most captivated by the idea of justice.
Apparently the history of the island contributes to this ...
Dah hizi mambo ngumu sana,usikute keshaliwa kichwa.Wiki Sasa wanaongea "President advisers"...
Yeye Zelensky yupo wapi?
Ha ha haa,ila mwamba Putin anaipenda sana kufanya vitu vya kibabe.
Ha ha haa,ila huyu mwamba Medvedev,yeye anakera,kazi yake ni kuwakera TU.
🤣🤣🤣Yeah... Inafikirisha Sana.
Russia alipokuwa member of G8, alikuwa ni nchi tajiri. Alipotolewa tu, hapo hapo anakuwa nchi maskini. [emoji3]
Kweli unamuhusisha Mungu na uhuni wa namna hii?Acheni kukufuru na kujitafutia laana!View attachment 2393410
na wote tuseme amen.