Haya mapicha huna mengine mbona ni yaleyale. tuWale professional troops tumemaliza wanakuja un professional troops nao tutamalizana naoView attachment 2393582
Ni mwendo wa kichapo tu mpaka fashisti anayejiita Putin apate akili [emoji91][emoji91][emoji91]Kherson imetapakaa miili ya vijana wa Putin
Jamaa ana makasiriko Sana juu hapo. Anaonekana Kama ana akiliakili lakini anajaribu kumtukana vibaya mtu ambaye Ni kichaa aso akili kwa wazo lake.Kabla hamjamwita putin war crimanal nendeni mkakamte kwanza akina George bush, obama clinton na minions wao wa nato kwa war crime walizozifanya huko iraq, vietnam, libya na Afghanistan
Huyu jamaa waendelea kumshikiria tu siku wakimpa nafasi ya kukaimu hata msaa mawili tutajutaMEDVEDEV
- IF EUROPE WANTS WE CAN SEND THEM WOOD😆😆😆
Aaah shukran MKUUKuna mboga mboga. Yaani mboga za majani ukizipanda zinakomaa kuanzia sikub 65. Tangu awe waziri mkuu hajafikia muda wa kukomaa hizo mbogamboga.
Hiyo lisichansik inapatikana katika Jimbo la luhansik..,Jimbo la luhansik hapo awali urusi alikuwa ameshaliweka kikamilifu chini ya imaya yake..,kwa vyovyote vile mapambano katika Jimbo la luhansik inaonyesha kwa kwamba jeshi la Ukraine linazidi kusonga mbele katika kuyakomboa maeneo yaliyotekwa hapo awaliView attachment 2393657
Lisichansk was liberated, the city was taken from different directions and by different units. This is our common Victory, but when covering this victory, we must not forget the role of the Brave group.
It was the Urals and the guys from the Volga region who broke into the defense of the Armed Forces of Ukraine to the south and west of the city.
The Siberians seized the most important facility - the Lisichansk Oil Refinery, which became the key to the city, and also cut the highway to Seversk, capturing Zolotarevka.
Now Grouping "O", completing the final liberation of the LPR, has closed the ring around Lisichansk, liberating Belogorovka and reaching the Seversky Donets River
propaganda kama yule msemaji wa serikali iliyopigwa ya iraq alivyokuwa anatulisha matango pori.Germany has supplied Ukraine with PzH 2000-one of the most expensive and high-tech howitzers in the world. However, the Russian military quickly knocked out one such howitzer, and with the help of German captured grenade launchers. -BILD
Chancellor Olaf Scholz wants to increase the military budget by 2 times. But Germany is not at war with anyone, and in fact the Germans are paying for weapons for Ukraine. Which eventually turns out to be with the Russians. The Russians are already studying the PzH 2000 howitzer that was hit.
Germany is losing money and technology. Are German politicians definitely working for the good of Germany? How much more will you have to pay for Ukraine, what will be the price for the Germans?