Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanaume 30 wanasafiri kufanya mkutano namna ya kumshinda mtu mmoja?!! Aibu.
 
Nchi ambayo haijatumia hata 5% ya uwezo wake kijeshi Ukraine,itumie nyuklia kwa wamama wa UE vitakuwa vichekesho vya mwaka.
Germany,UK,Belgium,Spain,Portugal& Italy ukizionganisha zote bado Tanzania ni kubwa-wakichukuliwa askari laki 5 tu & baadhi ya zana zinawamaliza-kwa nini tutume nuclear???

Nuclear IPO maalumu kwa ajili ya USA& Canada ambao Nchi zao kijographia ni kubwa ambapo itakuwa vigumu kufika kika maeneo.Hao UE ambao vi -Nchi vyao vidogo kama kumbikumbi na zipo pamoja hutuwezi kuharibu nuclear zetu.

Mchezo upo hapo Ukraine endeleeni kuucheza acheni visingizio vya kuhusu kutumia nuclear- visivyokuwa na kichwa wala miguu.
 
Fashisti Putin akijichanganya kwenye nyukria sidhani kama atapata nafasi ya kuliona jua Tena[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji635] [emoji1255][emoji779]This morning, attacks were carried out on enemy energy infrastructure facilities in:

[emoji3502]Kiev.
[emoji3502]Odessa region.
[emoji3502]Khmelnitsky.
[emoji3502]Dnepropetrovsk.
[emoji3502]Lutsk.
[emoji3502]Rivne.
[emoji3502]Volyn region.
[emoji3502]Kovele.
[emoji3502]Lviv.
[emoji3502]Nikolaev.
[emoji3502]Kirovograd region.
[emoji3502]Chernihiv region.

All over Ukraine, the air raid alert is still screaming, further strikes are possible.

[emoji41] Duh!
 
[emoji635] [emoji1255][emoji298]Ukrenergo said that the scale of damage as a result of morning strikes by the Russian Armed Forces on Ukrainian energy facilities "is comparable to or may exceed the consequences of the attack on October 10-12."

At the moment, a number of cities in Kiev, Chernihiv, Cherkasy, Zhytomyr, Sumy, Kharkov, Poltava, Dnepropetrovsk, Zaporozhye and Kirovohrad regions have been de-energized.

[emoji41] Kazi ipo!
 
[emoji298]️DEVELOPING[emoji298]️

Air raid alert SOUNDS in Ukrainian capital Kiev AGAIN, with air alerts reinstated in Odessa, South Ukraine, and Lvov, West Ukraine.

UPDATE: Scale of damage done today in some regions of Ukraine after Russian strikes is comparable or may even be GREATER than damage done in last week’s strikes - Ukrenergo, Kiev government-owned electricity transmission system operator.

[emoji41] Hii na ile post iliyotangulia kama zafananana hivi, source mbili tofauti.
 
Yule mpiga punyeto miezi mitatu iliopita alisema russia hawana uwezo wa kulidhibiti anga la ukraine.

Hilo kombora limerushwa kwa manati?
 
Russia has changed its strategy. Unfortunately, it is more effective.

Polish general, former commander of the GROM special forces unit Roman Polko.

The General notes that the Armed Forces of the Russian Federation are trying to engage in less clashes on the ground and are focusing on the destruction of critical infrastructure facilities in Ukraine. Gritting his teeth, with pain in his heart, Polko admits that the results for Moscow are very positive.

At the same time, the general denies the journalist's claims that the use of Iranian UAVs indicates a "shortage" of ammunition in the Russian Armed Forces: "I wouldn't be so optimistic yet. Moscow probably has and will have something to attack."

[emoji41] Mtasema yote tu!!
 
Yule mpiga punyeto miezi mitatu iliopita alisema russia hawana uwezo wa kulidhibiti anga la ukraine.

Hilo kombora limerushwa kwa manati?
Ha ha, bro hao wenzetu wana logic zao zi special kwao tu nadhani.

Its like zile issue za kitoto... Ukimpiga unamuonea, ukimuacha unamuogopa!

So whatever you do, whichever you not, still they have something to say!
 
[emoji630][emoji298]CPC Congress ends: Xi Jinping elected for a third five-year term as head of the Communist Party of China

[emoji41] Taiwan... Taiwan... Taiwan... Dooh he he!
Another version of the same story

[emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️

President Xi Jinping elected for 3rd five-year term as head of Chinese Communist Party, solidifying his place as China’s most powerful leader since founding ruler of People’s Republic of China Mao Zedong.
 
Huyu si alipinduliwa na jeshi.
BBC na DW walituambia

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naomba nieleweshe hii, nini maana yake, nimeiona sehemu sikuelewa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Judging from the way Russia is destroying their energy infrastructure (Gaykrainia), I think they are more than capable of destroying everything including everyone in Ukraine. But Putin isn't as evil as the west, he values people's lives more!

Kupima kwa masaa yaliyotumika toka asubuhi hadi sasa ni chini ya 7. Ila damage iliyotokea Ukraine msemaji wa Ukrenergo (hii Ukrenergo ni kama TANESCO ya bongo) anadai iko on par au zaidi ya ile iliyotokea toka 10th up to 12th October! Kama mnakumbuka hizo tarehe ilifanyika retaliation ya lile daraja la Crimea.

Na think again, haya yanatokea ikiwa ni baada ya collective west kujinadi kuongeza Air defence nyingi zaidi baada ya kichapo cha Kiev!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…