Yaani kila siku Russia imepoteza wanajeshi 301.Mpaka sasa zaidi ya wanajeshi elfu 72 wa Urusi wafariki huko Ukraine [emoji848]
MyTake Putin ana moyo mgumu kama wa pharaoh[emoji848]
......
A Nov.1 update on russian losses in the warView attachment 2403737
Walivamia kichwakichwa nchi ya watu sio ajabu kwa kilicho wapata warusi.Unaweza nielezea msafara wa vifaru vya jeshi la urusi wa kilometa 60 kuelekea Kyiv uliishia wapi?Yaani kila siku Russia imepoteza wanajeshi 301.
72470÷240= 301.9
240days= 8months
Pima ubongo wako. Kuna hitilafu
Hizo taarifa ni Kwa mujibu wa nani?Mpaka sasa zaidi ya wanajeshi elfu 72 wa Urusi wafariki huko Ukraine 🤔
MyTake Putin ana moyo mgumu kama wa pharaoh🤔
......
A Nov.1 update on russian losses in the warView attachment 2403737
Kenge hasikii mpaka atoke damu mkuu.., ngoja waendelee kumtwanga, huenda damu zikimtoka huenda akili zitakaa sawa [emoji848]Mpaka sasa zaidi ya wanajeshi elfu 72 wa Urusi wafariki huko Ukraine [emoji848]
MyTake Putin ana moyo mgumu kama wa pharaoh[emoji848]
......
A Nov.1 update on russian losses in the warView attachment 2403737
Hadi Zele akimbie nchi 😀😀😀 ni vichapo kila konaduh rudi milembe mkuu , kama huna smartphone bas angalia tv kama huna bas chungulia hata kwa jirani , Mwez Feb waliingia Kiev na mbwembwe kibao sasa hv wanalenga kwa mbali hawawez kusogeza pua hlf unasema wameshindwa Counteroffensive , Humu vichqq mpo wng sn
Kwani NATO wanafanya nini Syria ni nchini kwao?askari wa ukraine wapo nchin kwao , tukuulize ww askari wa Urusi wana hata vibali vya mamlaka husika za Ukraine kuwatambua uwepo wao hapo nchini Ukraine
Ukiniita kichaa sitalalamika hatakwan ndan ya Urusi imerushiwa hata ubuyu ? sasa anajilinda na nini ? TUKIWAITA VICHAA MNALALAMIKA
[emoji23][emoji16][emoji16]ww kichwan hamnazo we unaona Urusi inalenga makaz ya watu na Ukraine anajilinda hlf ulivy qum unasema Ukraine ndo magaid
Mabilion ya dollar yanatumika kufanya hayo mashambulizi...alafu marekebisho yanafanyika ndani ya muda mfupi tu.., udhalim haujawai kushinda popote pale,11:01 am
Mayor: Water, electricity supply restored in Kyiv after Russia's Oct. 31 mass attack.
The water and electricity supply has been fully restored in Kyiv, according to Vitali Klitschko, the mayor of the city. The utility service workers have been working for around 24 hours to repair the damage after Russia's mass attack on Ukraine on the morning of Oct. 31, he said. Kyiv, however, still implements rolling blackouts to stabilize the power system's operation.
Kwa hiyo wewe umekuwa mwanaharakati wa kupinga Urusi kuwa ndani ya Ukraine, umesajiliwa wapi kutoa huduma hiyo?askari wa ukraine wapo nchin kwao , tukuulize ww askari wa Urusi wana hata vibali vya mamlaka husika za Ukraine kuwatambua uwepo wao hapo nchini Ukraine
Mnaongopeana kwa kweli labda kwa vile ujui ufundi ulivyo ila kwa fundi akisikia habari iyo lazima acheke.yani nishushe mabomu pale ubungo alafu kesho yake useme tushatengeneza upya kwa iyo umeme umerudi kama kawaida.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Labda sio systerm ya umeme au sio systerm ya maji.Mabilion ya dollar yanatumika kufanya hayo mashambulizi...alafu marekebisho yanafanyika ndani ya muda mfupi tu.., udhalim haujawai kushinda popote pale,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hulazimishwi kuamini unaweza kuja na takwimu zako pia kuhusu hili!Hizo taarifa ni Kwa mujibu wa nani?
Naona ulitaka chanzo Cha habari kiwe RT labda ndo ungeamini iyo habari.., endeleeni kupoteza resources kwenye miundombinu huku mkiendelea kupoteza front line [emoji848]Mnaongopeana kwa kweli labda kwa vile ujui ufundi ulivyo ila kwa fundi akisikia habari iyo lazima acheke.yani nishushe mabomu pale ubungo alafu kesho yake useme tushatengeneza upya kwa iyo umeme umerudi kama kawaida.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Labda sio systerm ya umeme au sio systerm ya maji.