Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Habari nzito kama hiyo inatolew telegram afu unatuletea?View attachment 2412628
za kuambiwa mtandaoni changanya na zako,
baadae kidogo nataka niwaachie huru pro nato wote niliowalima BAN.
MKUU HIO ISHU HAKUNA MWENYE TAARIFA KAMILIView attachment 2412628
za kuambiwa mtandaoni changanya na zako,
baadae kidogo nataka niwaachie huru pro nato wote niliowalima BAN.
WaleteeeeeeHabari nzito kama hiyo inatolew telegram afu unatuletea?View attachment 2412661
Hahahaha [emoji23]Mykolaiv yote inarudi chini ya Ukraine [emoji23]
[emoji298]️Colonel Roman Kostenko reports that the entire occupied part of the Mykolaiv region is liberated.
"Now the city is being cleaned. Our guys are taking it under complete control. This is the last city held by the enemy in Mykolayiv region.
Therefore, we can say that the Mykolayiv region is completely freed", – Kostenko says.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
Mkuu, pro Russia walikuwa wameshapanga kabisa ratiba ya vita humu jamvini.., kwamba baada ya urusi kutwaa mycolaiv ,kituo kinachofuata itakuwa Odessa.., naona mipango yote inabuma Sasa[emoji16]Mykolaiv yote inarudi chini ya Ukraine [emoji23]
[emoji298]️Colonel Roman Kostenko reports that the entire occupied part of the Mykolaiv region is liberated.
"Now the city is being cleaned. Our guys are taking it under complete control. This is the last city held by the enemy in Mykolayiv region.
Therefore, we can say that the Mykolayiv region is completely freed", – Kostenko says.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
Udhalim haujawai kushinda popote pale [emoji120][emoji1255][emoji123]SLAVA UKRAINE [emoji1255][emoji1255][emoji1255]
[emoji298]️Local residents return the Ukrainian flag in de-occupied Stanislav, the Kherson region.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
C wameikimbia hii au [emoji23][emoji16][emoji23]Ila warusi wanabondwa jmn[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji298]️Explosions are heard in the temporarily occupied Kakhovka district of the Kherson region, – subscribers report. We are waiting for official information.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
Kahkvoka ipi Shekhe iliyokimbiwa?! Kacheki ramani vizuriC wameikimbia hii au [emoji23][emoji16][emoji23]
7. Thermobaric rocketsRussia alitumia haya madude yote
1. Kh-55 ,
2.Kh-101 cruise missiles fired by strategic bombers,
3. the sea-launched Kalibr cruise missiles , 4.the ground-launched Iskander missiles,
5.hypersonic missile
6.,S300, and S400
yote yakabuma ,kabaki na nuke tuu kuipiga hawez ndio maana kakata tamaa kabisa.
View attachment 2412704
View attachment 2412705
View attachment 2412706
View attachment 2412708
View attachment 2412709
UKRO NAZI waoga sana waliwasukuma huko RUSSIA kwa HIMARS ila hawajiamini [emoji16][emoji23][emoji16]Kahkvoka ipi Shekhe iliyokimbiwa?! Kacheki ramani vizuri