LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Supercell, the company that released Brawl Stars, a popular mobile game among children and teenagers, has announced a ban on access to its games in Russia and Belarus.
 
Kwa hiyo akisema anafanya na Warusi bila ushahidi kuweka tutamwamini na kumuelewa?

Hata hapo Chunya Warusi wapo wanachimba dhahabu na madini mengine, hii haikufanyi wale wapishi wawe wajuvi wa mambo.
Mkuu, kwani wewe kusema uliongea na mmarekani ni big deal? Kwamba huyo mmarekani hawezi kuongea na wewe akakuambia kinachoendelea huko ni ajabu!
Hivi mbona mnakuwa na utoto kiasi hiki.?
 
The heads of the Defense Ministries of Ukraine and Georgia will take part in a meeting of NATO defense ministers on March 16, the meeting will be held in person, the alliance said in a statement.View attachment 2144573
Stupid guys....hakutakuwa na serikali ya Ukraine wakati huo...Kiev itakuwa tayari mikononi mwa wababe...
 
Hizo ndo mbinu za vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Katuni pia tunakoelekea Watoto hawatoziona.Inaelekea Putin alishapaniwa siku nyingi sana ajichanganye tu wamkomeshe,kila kunapokucha hali inazidi kuwa mbaya upande wa vikwazo na hivi vinawagusa wananchi wa kawaida kabisa moja kwa moja 😟
 
And this is a photo from Serbia: FC Borac football fans came to the match in the city of Banja Luka with Russian flags and anti-NATO slogans.

Earlier, thousands of protests were held in the country in support of Russia and the special operation of the Russian Federation in Ukraine.

 
Habari arawa,Bado hili andiko lako lina uzito kama ulivyotaka kutuaminisha?Eti Canada eti Uk.Ktk medani za kivita dhidi ya Urusi mataifa haya ni cake ya unga.Wewe jiulize umoja wa Nato wenye mataifa lukuki yenye utajiri wanaharishwa na taifa moja tu..Russia.
 
KWEUPE, HII DUNIA YA SASA UKITAKA UWE MBABE SANA TAFUTA NAMNA YA KUWA TEGEMEZI KWA NCHI NYINGI.
This is how luxury boutiques in the Moscow Central Department Store look now after the announcement of a number of brands about the suspension of activities in Russia.

Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu hata wananchi wa Russia hawaamini serikali yao ,propaganda kibao .Kwanza vikwazo tu itafanya wananchi waaingie mtaani kuipinga serikali ingawa walishaanza ,tusubiri hata mwezi mmoja au miwili ya vikwazo ,Putin atapambana vita mbili ,Yeye na Ukraine halafu kudhibiti maandamano ya wananchi wake kuhusu ugumu wa maisha unaotokana na vikwazo vya hii vita. Lazima atafeli vita moja kati ya hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu, hiyo technique sio nzuri..
wajifiche bila kujichanganya na raia..
Sasa ikishushwa rocket na hao raia si wanakufa...
Inategemeana na ukatili wa anayevamia ,kuna watu wanasema ukraine inaomba msaada wa wananchi na wamepewa silaha kwasababu askari wengi wameuawa ,tangu day one mashambulizi yalipoanza Rais wa Ukraine alishasema raia wapewe silaha ,halafu eti askari wameisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kalio lililoshikwa.

Naomba nikuulize swali; Marekani alipopigana Afghanistan maeneo ya raia yaliachwa.
alipoenda kupigana Vietnam, alisamehe vijiji na maeneo ya raia.
Unaifahamu agent orange ilifanya nini?

vipi kuhusu syria?
vipi kuhusu Libya?

acheni double standard
 
The Council of the Duma instructed to study the issue of creating a parliamentary commission to investigate the activities of American biological laboratories in Ukraine, Volodin said.
 
81 Ukrainian air defense radar posts were destroyed, which led to the loss of combat control of aviation and air defense by Ukraine, the Russian Defense Ministry said.

It is noted that at present the air defense system of Ukraine is not capable of providing significant opposition to Russian aviation.

 
In Berlin, a rally was held at the German-Russian Museum after the leadership of the institution removed the Russian and Belarusian flags, leaving only the Ukrainian one.

It was organized by a member of the anti-fascist union "Undiscovered Country" Ringo Elert.

According to him, such manifestations of "support" turned into a mockery of the memory of the millions of victims of fascism.

 
Jamaa kapigwa na vitu vizito ,wamejitahidi kufunga damu isitoke ila hamna jinsi
Jamaa kaleta ubishi nya vitani yaani kawaletea wajeshi wa Ukrain usela mavi wamemtaka kujisalimisha yeye hataki wamemtaka tena kujisalimisha yeye hataki wana wakaona isiwe tabu wakalala kwanza na miguu ndo kifua kikafata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…