LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tafsiri ya Kirusi 👉Kiingereza kutumia google translate, kutokea mtandao wa telegram wa Ukraine:
The 3rd tank company of the 102nd regiment of military unit 91706 was destroyed

Captain Karpaev Rinat Alexandrovich died.

Most of the soldiers also died

 
Ukraine ni Taifa 22 kwa nguvu za kijeshi duniani, kwa hiyo isingekuwa rahisi ila taratibu anatafunwa
Mamaa wewe ndo umeandika haya ama kweli sasa mbuyu umekolea maji hadi wewe umekubali kazi ya waukrain na bado hapo mjue kuwa waukrain kuna vifaa hawana wakishapatiwa iyo misaada ndo mjue balaa mnalo nyie warusi
 
Hao Iran na Venezuela bado wamechafukwa mpaka sasa?
Na hatuna uhakika kama watakubaliana na sera za Waliberali.
IRAN
Iran wote tunakubaliana na Geopolitics inayoendelea kati yake na Israel.
Israel ambaye ni swahiba mkubwa wa Marekani. hivyo waondoe vikwazo kutoka kwa Iran bila kuhusu program yake ya nyuklia halafu aimalike kiuchumi, unategemea nini kwa Israel, hatoona marekani ni msaliti kwa ajili ya manufaa yake, je Israel watachukua hatua gani.
VENEZUERA
Na upande wa venezuela vile vile kuhusu na jinsi serikari yao walivyoingia kwenye mamlaka kwa namna isiyo halali, je Marekani yupo tayari kuwafungulia vikwazo ili wapate nafuu ya kiuchumi? je vipi mamilioni ya wapigania demokrasia waliowafadhiri, huoni litakuwa tusi na kusimika ule msemo maalufu kwamba Marekani hana msimamo na haaminiki.

Tutafakari
 
Mkuu tuko hapa kujadili mada bila kupepesa wala kuwa mashabiki, ila ukweli pamoja na nguvu zao wana hali mbaya
 
Mkuu tuko hapa kujadili mada bila kupepesa wala kuwa mashabiki, ila ukweli pamoja na nguvu zao wana hali mbaya
 
More than 340 Russians in Hurghada are waiting for a backup board for an export flight to Russia, the AZUR air board cannot fly due to a malfunction - ATOR.
 
Vladimir Putin was informed about the implementation of his instructions to categorically exclude the involvement of conscripts to perform tasks on the territory of Ukraine.

On his behalf, materials were sent to the Chief Military Prosecutor's Office for a legal assessment of the actions and punishment of officials responsible for failure to comply with this instruction, Dmitry Peskov said.

 
The deputy head of the office of the President of Ukraine said that Zelensky was ready for a "direct dialogue with Putin." According to him, Kyiv is also ready for a diplomatic settlement of the situation in Ukraine.

Zelensky's office noted that they were ready to talk with Russia on a wide range of issues
 
Hizo ndoto za alinacha.
Sisi tumepitwa mpaka na Kenya na Uganda, Ethiopia hadi Kongo drc,
Hapa East Africa sisi ni wachovu tu
 
Ukrainian special forces use the roofs of high-rise buildings to equip firing positions.

Evidence - video footage from a drone - appeared at the disposal of the @wargonzo project. The footage also shows heavy equipment located right in residential areas.

Your browser is not able to display this video.
 
The representative of the European Union told RIA Novosti that the EU does not have information about prohibited programs in biological laboratories in Ukraine.
 
USIACHE KUSOMA HABARI HII (MWANAUME KASEMA)
Ukraine is ready to discuss Russia's demand for neutrality if it is provided with security guarantees, but the country "will not surrender a single inch of territory," Bloomberg reports, citing Zelensky's deputy head of the office, Igor Zhovkva.
Frustration
Nyamizi
 
The deputy head of Zelensky’s office said that Ukraine needs security guarantees from the United States, Britain and Germany, since guarantees from Russia alone are “not enough.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…