NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Tatizo vita imeingiliwa na wanajeshi wengi wa nato, marekani imetoa pesa nyingi kuifadhili Ukraine, Ukraine inaweza tumia hiyo pesa kukodi wanajeshi. Hapo Russia hatoboiMi huwa nashangaa, UKRAINE inapigwa ila kuna WAPUMBAVU humu mna kelele unaweza dhania hao Urusi wamezidiwa. How stupid is this.? Yaan bado mnaamini UKRAINE ana uwezo wa kupigana na URUSI? Nchi iko magofu maeneo mengi, afu unatokea mtu kutoka Kilolo huna hata elimu ya Ulinzi unatoa mchango hapa as if huu ni mpira.
Nini kimekusibu kisiju Pwani aisee ni wewe umekuabali haya bado wdnzieMkuu tuko hapa kujadili mada bila kupepesa wala kuwa mashabiki, ila ukweli pamoja na nguvu zao wana hali mbaya
Nimekubali kivipi, kwamba ukraine ni Taifa la 22 kijeshi duniani ndio nimekubali, acha utani komredi. mimi sio nanga wa misimamoNini kimekusibu kisiju Pwani aisee ni wewe umekuabali haya bado wdnzie
Sikatai unachosema maana ndio hulka zetu wabongo kuwa na inferior mind.Hizo ndoto za alinacha.
Sisi tumepitwa mpaka na Kenya na Uganda, Ethiopia hadi Kongo drc,
Hapa East Africa sisi ni wachovu tu
Kinachokuaminisha sisi tupo vizuri ni nini, Uganda na Kenya wanaoongoza kuwa na military expenditure kubwa kuliko sisi.Sikatai unachosema maana ndio hulka zetu wabongo kuwa na inferior mind.
kumbuka ukraine alisema hayupo tayari kujadili jambo lolote na wavamizi au umesahauKwa huu mfululizo wa vikao ni dhahiri Vita vimeshaisha hivi. Kama tayari kuna kikao kijacho kwa mawaziri wa mambo ya nje wa Russia na Ukraine basi kila mmoja kashalainika hasa Russia.
Video from social networks: it is reported that this is a line of cars of those people who are trying to leave the city of Sumy.
View attachment 2144748
Yule jamaa sema wamemuonea huruma tu wengemshushia kitu kizitoUkrainian special forces use the roofs of high-rise buildings to equip firing positions.
Evidence - video footage from a drone - appeared at the disposal of the @wargonzo project. The footage also shows heavy equipment located right in residential areas.
View attachment 2144728
unaposikia uzoefu kwa askari unapatikana kwa kubonyeza keyboard, hao wachache waliokamatwa hakuliondolei ubora jeshi la Urusi.Russia’s defence ministry has acknowledged that some conscripts have participated in the war in Ukraine days after President Vladimir Putin denied that was the case.
The ministry said that some of the conscripts had been taken prisoner by Ukrainian forces. But it claimed that “practically all” such individuals deployed to neighbouring Ukraine had now been pulled back to Russia.
Mkiambiwa Russia Hana jeshi zuri kama anazosema, hamuamini
Sasa unapelekaje mtu vitani hata miezi 6 jeshini hana.
Putin ameua sana vijana wa Russia