NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Hakuna tena acha raia watoke hawa ngombe wachezeeeThe deputy head of the office of the President of Ukraine said that Zelensky was ready for a "direct dialogue with Putin." According to him, Kyiv is also ready for a diplomatic settlement of the situation in Ukraine.
Zelensky's office noted that they were ready to talk with Russia on a wide range of issuesView attachment 2144721
Mazungumzo tutazungumza ila operation ipo palepalekumbuka ukraine alisema hayupo tayari kujadili jambo lolote na wavamizi au umesahau
Tayari mpaka sasa mwenye karata kwenye dume kwenye hii operation ni Urusi.
kumbuka jana Nikolaev imeanguka , sasa rasmi inafuatwa odessa ili kuifunga pwani ya ukraine isiguswe
Sidhani hata anaelewa yeye kashalishwa matango pori ya kutoshaHatoboi vipi wakati UKRAINE haikaliki?? We unadhani URUSI hawezi tupia makombora hapo KYIV?? ni kwakuwa ataua raia wengi na ndio maana kwa ustaarabu ameomba raia waondoke. Unajua kwann Urusi wanalazimisha Raia waondoke KYIV??
Sababu wanatumika kama ngaoCardless kwann Urusi inataka raia waondoke sasa na si wakati walipoanza mashambulizi kuivamia Ukraine?
Urusi yupo hoi kwa sasaMbunge mmoja wa Uingereza amesema bungeni kwao leo kuwa Putin na Russia watapigwa na kufurushwa kama nduli Idi Amini wa Uganda alivyopigwa na kufurushwa na Tanzania.
Sijajua kwanini mbunge huyo katumia mfano huo labda ni vile Uingereza aliwahi kututawala.
Maendeleo hayana vyama!
Hizi Habari za huyu mtz wa hovyo unazileta huku
Kwahiyo umekasirika?Tatizo mtoa mada ana haraka sana kuandika andika ovyo mabandiko, anajisahau kuwa humu kuna watoto na watu wakubwa so ni vizuri akaweka na uthibitisho ili apate more credits!.
Kama nduli Amini pamoja na silaha zote alizopewa na Libya wakati ule!Urusi yupo hoi kwa sasa
Raia sio ngao tu, walikuwa wanafanya training za kutumia bunduki kabla ya uvamizi. Urusi hawezi kwepa kuua raia maana wanapigana pia. Labda uniambie anajaribu kutoa muda ipatikane sababu ya kusitisha vita na ikishindikana apige mabomu.Sababu wanatumika kama ngao
Marekani na Ulaya ni hatari sn hawajampiga wamempiga tu kidogo kiuchumi kaanza kujambaKama nduli Amini pamoja na silaha zote alizopewa na Libya wakati ule!
CCM watu wamelaani haswaMtu wa CCM akikuambia sasa ni saa saba mchana toka nje angalia jua kama linawaka na liko eneo gani!
Ila Mbatizaji siku hizi ana kaupako kidogo [emoji1787][emoji1787]
Kakudanganya naniMfano mbaya. Idi Amini hakuwa na mabomu ya nyuklia, Putin anayo. Mwenye bomu la nyuklia hawezi kushindwa vita.