MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Ameanza kupata akili.
Sasa kama watanzania wanaenda Hadi kusoma Uganda, unashangaa nini Ukraine? Na kwa nini hushangai wanaoenda Urusi kusoma badala ya kwenda US taifa kubwa lenye vyuo Bora duniani?!nashangaa sana watanzania kujazana Ukrine!! kwenda kusoma!! hivi hata Ukrine kuna elimu bora? au kuna faida gani?! si bora wangeenda Urusi Taifa kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apo ndo huwa mnanifurahisha nyie viumbe. Kwa hiyo kuzungumza mpaka uchague team.Anajifanya hana upande anaoegemea wakati ukisoma comment zake huhitaji hata kufika sentence ya tatu ushajua huyu ni Pro Russia [emoji3]
Nyingine hii hapa ila wamesema walio enda vitani bila idhini wata funguliwa mashitaka.Uingereza imetangaza kupeleka mifumo ya air defence inayofanya kazi usiku kuiwezesha Ukraine kuzuia ndege za Urusi. Mifumo ya sasa ya Ukraine inafanya kazi vizuri mchana ila usiku kunakuwa na shida kidogo na ndipo Russia hufanya mashambulizi zaidi.
Ngumu kueleweka hii
Kuna Siku alitukana wakati mic ipo on ...... hiki kibabu watasahangaa siku anakatiza na boxer mbele ya cameraha ha ha,ila yule nae kweli kwa umri wake ukute wakati mwingine huwa anasahau hata kama kavaa barakoa
Sahihi kabisa.Nyie endeleeni kushabikia tu Ila mjue hicho mnachofanya ni upumbavu, Israel kuua wapelestina ni kosa, Us kuua Wa Syria Ni kosa, Urusi kuua wa Ukraine ni makosa pia Hao wote wanakufa Ni binadamu kama nyiny Imani yenu isiwatoe ufahamu kiasi hicho.
Ni atari, ila sasa naona FM Kuleba nae kawasiri Uturuki. Labda wanaeza kuzungumza na huyo FM w Russia wakapata mwafaka...Kumbuka tu Ukraine itachukua zaidi ya 10yrs kuirudisha nchi ilipokuwa. US NATO na hao UK wamekaa mbali wenzao nchi inaharibiwa. Zelencky's resistance inaiua chi yake.
Slava Volodymry Zelenskyy ✊Unampongeza mtu ambaye nchi yake inaharibiwa Kwa Ujinga wake mwenyewe!
Waliomuingiza mkenge wamekaa kando wanaangalia tu!
Kama huyo Comedian angeyajua haya basi asingeingia mkenge wa US na washirika wake!