NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Unawezaje kusafiri na Silaha?? Viwanja vya ndege na kadhalika kuna ulinzi mkali. FIXNyingine hii hapa ila wamesema walio enda vitani bila idhini wata funguliwa mashitaka.View attachment 2145414
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Eti na huo ni Uzalendo... Hawa viongozi sijui huwa wanatuchukiliaje yani.Alichokifanya Zelensky kime-justify raia wa Ukraine kushambuliwa.
Unaonaje ukienda kumuua wewe sasa hivi?Zelensky inabidi auawe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ifafanue zaidi sasa tuelewe kama ni ngumu kueleweka.Uingereza imetangaza kupeleka mifumo ya air defence inayofanya kazi usiku kuiwezesha Ukraine kuzuia ndege za Urusi. Mifumo ya sasa ya Ukraine inafanya kazi vizuri mchana ila usiku kunakuwa na shida kidogo na ndipo Russia hufanya mashambulizi zaidi.
Ngumu kueleweka hii
Hawa wanapaswa waongeze supply badala ya kupunguza. Russia ni rafiki wa China wa kufa na kuzikana,iweje sasa wapunguze supply au na wao wanaweka vikwazo kimya kimya?Xiaomi, Oppo and Huawei have reduced the supply of smartphones to Russia by at least half, according to the Financial Times.View attachment 2145388
Allah ni wako pia. Hukujileta mwenyewe duniani wala kwa matamanio yako.Huyo Allah wako si akawapiganie watu wake huko Syria, Yemen, Afghanistan, Libya, Somalia, Mali, Lebanon maana ni wafusi wake, mbona wanakufa, kuteketea na kunyonywa na wamagharibi tu.
Unaomba kwa Allah wakati mwenzio ana Tomahawk au Iskander.
Hizo ni imaginary being hazina athari yoyote kwenye maisha ya mwanadamu
= silaha.Umenifanya niipitie kwa juu juu historia ya vita ya kagera upya.
Tanzania ilitumia kiasi Cha USD million 500 mpaka USD one billion.
Hasa ilibidi inunue siraha kwa kipindi kifupi na hiyo ilikuwa miaka ya 70.
View attachment 2144891
According to Financial timeHawa wanapaswa waongeze supply badala ya kupunguza. Russia ni rafiki wa China wa kufa na kuzikana,iweje sasa wapunguze supply au na wao wanaweka vikwazo kimya kimya?
Af hawa Xiaomi, Oppo na Huawei ni Chinese Manufacturers.Xiaomi, Oppo and Huawei have reduced the supply of smartphones to Russia by at least half, according to the Financial Times.View attachment 2145388
Kuonba wakati vikosi vya Urusi vimeshaingia kwake.Kwani Russia yeye alisemaje? Si alisema hakuna majadiliano yeyote baada ya Ukraine kuomba?
Unafatilia sana hii vita mkuu uko vzuriThe American footwear manufacturer Crocs suspends retail activities in Russia and imports of products into the country amid the situation around Ukraine, according to the company's website.View attachment 2145439
😃😃
Inasikitisha af wamkuta shabiki flan hv mswahili anakwambia wapingwe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Au mwingine unasikia anasema wapigane tu mpk tone la mwisho.
Kwa sasa wamekata kabisa maana pesa ya Urusi imeshuka thamaniHawa wanapaswa waongeze supply badala ya kupunguza. Russia ni rafiki wa China wa kufa na kuzikana,iweje sasa wapunguze supply au na wao wanaweka vikwazo kimya kimya?