Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,270
- 6,344
Wacha wazichape. Sema atakaepoteza ni yule vita inapiganwa kwake. US na Russia for centuries walishazoea vita.Serikali ya Marekani yasema haitazuia nchi ya NATO au Nje ya NATO kuipa Ndege vita Ukraine..
Pamefikia utamu
Unadhani watatandikwa alaf wakae kimya. Siku hiyo hakukaliki. Watu wanagawana mbao.Kwakweli natamani sana hilo balaa litokee...
Tafarijika sana siku nikiamka nikute taarifa US na British zimetandikwa nuclear.
Hawana chechote hao mkuu, katika historia za hivi karibuni hawajawahi kupigana na mkubwa mwenzao.Unadhani watatandikwa alaf wakae kimya. Siku hiyo hakukaliki. Watu wanagawana mbao.
Ukraine aliomba membership for European union mnamo mwezi wa 7 mwaka jana, hivyo mwaka haujatimia bado, Usisahau pia urusi Naye anaufunga mwaka huku akiendelea kupigishwa danadana kwenye kile alichokiita operation maalum ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleoTunafunga Mwaka
Ukraine hajapewa membership EU na NATO anapigwa danadana tu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mwaka unafungwa mwezi wa pili ?....au huko kwenu mnafuata calendar ya Kirusi ?
Serikali ya Marekani yasema haitazuia nchi ya NATO au Nje ya NATO kuipa Ndege vita Ukraine..
Pamefikia utamu
Hizo zote hazijaingia field, subir ziingie mzigoni kisha uanze kuhoji,Mnaishi kwa Matumaini, leopadi, chalenja, abram mmefikia wapi??
Ukraine aliomba membership for European union mnamo mwezi wa 7 mwaka jana, hivyo mwaka haujatimia bado, Usisahau pia urusi Naye anaufunga mwaka huku akiendelea kupigishwa danadana kwenye kile alichokiita operation maalum ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jipimeni Kwanza kwa ukraine..,mkishafuzu mtakwenda hatua inayofuata!
Unaniita kilaza wakati nakushindilia kila siku??View attachment 2513351
Hii nakujibu kwa mara ya mwisho nishakuweka kwenye list yangu ya Vilaza Pro Max. Huna unachojua zaidi ya kutafuta attention humu ndani.
Uthibitisho hata wa kapichaBadala waje wao wanaleta matoy
Kazi mnayo kwelikweli vipi Leopard na Abrahamu wameshafika maana huku front line wa Ukraine tumeshikwa pabaya!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na Poland Jana kasema hivi[emoji116][emoji116][emoji116]Serikali ya Marekani yasema haitazuia nchi ya NATO au Nje ya NATO kuipa Ndege vita Ukraine..
Pamefikia utamu
Kadri muda unavyokwenda huu mlima anaoupanda super pawer unazidi tu kuongezeka tu..,duh!!Pentagon yasema inafikiria kupeleka wanajeshi Ukraine
Wanasema kuwa Ukraine akipata ndege vita, atamaliza vita ndani ya MwakaNa Poland Jana kasema hivi[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]the discussion on the transfer of fighters jets to Ukraine is in the initial fhase . Poland will make a corresponding if a joint agreement is reached by other NATO allies [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Hapa patamu sana[emoji122][emoji122]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji28]Wanajeshi 700,000 wa Ukraine wauawa jana usiku walipokuwa wakizurura mitaani