President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Usicheke eti kweli wameuawa 700,000
Right now kuna type nyingi sana ya gender. Na mtu anaweza kuamua mwenyewe anaidetify kwa gender ipi na pronouns zipi. Wanasema gender is not a biological fact. Mtu anaweza kuwa male, female, trans, etc na anaweza kutumia either he, she, it, they, them etc. Vyovyote atavyotaka yeye mwenyewe[emoji1063][emoji1262][emoji2524]⚧️[emoji310] — [emoji632][emoji632] French Channel, ' @canalgeopo ' on Telegram:
— "A Ontario student was kicked out of his Catholic college and arrested by police after claiming there are only two genders"
Modern western values. Kwani kuna gender ngapi jamani?
Sio vifaru tena 🤣🤣🤣walisema vifaru itakua game changer wamepewa ,,,Saiv hawazungumzii tena vifaru 😁😁😁bhc wampe hizo ndege wanaanza kusukumiana mpira Mara hadi wakae vikao 🤣🤣🤣Wanasema kuwa Ukraine akipata ndege vita, atamaliza vita ndani ya Mwaka
Jamaa itakua sio raia halali wa Ukraine. Unapiganaje na lidude kama Russia na silaha huna unategemea za kuombaomba, na hizo hawakupi heavy weapons wanakupa tu nyepesi. Wampe nyuklia sasa amalize game. Si wanataka ashinde.Sio vifaru tena 🤣🤣🤣walisema vifaru itakua game changer wamepewa ,,,Saiv hawazungumzii tena vifaru 😁😁😁bhc wampe hizo ndege wanaanza kusukumiana mpira Mara hadi wakae vikao 🤣🤣🤣
[emoji3][emoji3] naona Poland anamtamani mrusi hatari, yaani Urusi akijichanganya kwa Poland atayakanyaga mazima.Poland siyo Ukraine.Na Poland Jana kasema hivi[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]the discussion on the transfer of fighters jets to Ukraine is in the initial fhase . Poland will make a corresponding if a joint agreement is reached by other NATO allies [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Hapa patamu sana[emoji122][emoji122]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Danadana anapigishwa Ukraine mpaka sasa hajajiunga NATO wala EU na sababu za kuto muunga hawanaUkraine aliomba membership for European union mnamo mwezi wa 7 mwaka jana, hivyo mwaka haujatimia bado, Usisahau pia urusi Naye anaufunga mwaka huku akiendelea kupigishwa danadana kwenye kile alichokiita operation maalum ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Danadana anapigishwa Ukraine mpaka sasa hajajiunga NATO wala EU na sababu za kuto muunga hawana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Husifikiri kujiunga NATO na umoja wa ulaya ni process ya usiku kucha tu..,zile ni tahasisi imara haziwezi kufanya mambo yao kienyeji.., urusi aendelee kupambana huku akijua mpango wa kumjumuhisha Ukraine katika umoja wa ulaya na muungano wa NATO uko palepale!!Danadana anapigishwa Ukraine mpaka sasa hajajiunga NATO wala EU na sababu za kuto muunga hawana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji16][emoji23]Pentagon yasema inafikiria kupeleka wanajeshi Ukraine
😂😂 China ameona amchokonoe jamaa kwa maputo😂💥💥U.S shoots a second Chinese balloon near Alaska 💥💥
Trust me..,hii vita italeta second desperation of Russia.., urusi atachakazwa na kuondoka mikono mitupu huko Ukraine huku taifa la urusi likigawanyika kama vipande 20 hivi!Eneo lako lenye natural resources walizokua wanategemea zishabebwa hawana kipya soon watakua hawana bahari land locked [emoji357]. Nani akupe EU membership?? Taifa linakwenda kuwa na madeni ya karne na bado hawajui kama Ukraine will exist in two years. Ile kauli ya Medvedev sio ya kuipuuza alimaanisha kwelikweli.
Kama walipuuza Ile mikwara ya fashisti kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto.., unafikiri Kuna jambo lingine lolote watashindwa kufanya??[emoji23][emoji16][emoji23]
Hawatakaa wathubutu ila niwazi UKRO NAZI wanachapika
Sent using Jamii Forums mobile app
Who can trust you?! Yaani hisia zako unazitanguliza mbele kuliko reality and facts on the ground halafu eti you ask people to trust you?! Duh...incredible...Trust me..,hii vita italeta second desperation of Russia.., urusi atachakazwa na kuondoka mikono mitupu huko Ukraine huku taifa la urusi likigawanyika kama vipande 20 hivi!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app