NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Ukraine atagundua amekula hasara baadae sana. Urusi atapata shida kiuchumi na Marekani atapata faida ila European countries za kawaida watateseka. Mengineyo nasubiri ila sitarajii Russia ahimili vikwazo kirahisihuu mgogoro unautabiria utaishaje MKUU
Hiii Picha bn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2146441siraha za ukraine walizopewa na marekani hil ni kombora ya kutungulia vifaru
ObviouslyUS wants to destabilise Russia by allowing Ukraine to fight for nothing!
US and NATO have no plans to invade or fight Russia, but rather pushing Ukraine to fight.
Ubinafsi mkubwa huu! Leo anatoa vikwazo kwa Venezuela ili apate mafuta, ameona stock na production aliyonayo haitoshi, ataishia kupandisha bei za bidhaa. Biden's miscalculation.
[emoji856][emoji856][emoji856] Usifurahie watu kufa Jomba...usiku wa kuamkia leo hii hapa kuna wenzako wazikwa hapa ha ha haView attachment 2146454
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The Hungarian prime minister said that the EU will not impose sanctions against Russia that would affect the oil and gas sectors.View attachment 2146501
Kama ni kweli, basi huo ni Ubaguzi wa kiwango cha PhD...
Wewe ni fala sio kila mtu yuko tayari kutoa Malinda kama wewe mwogaKitu Cha kushangaza ni yeye kutotumia tumia kichwa vizuri kabla ya uvamizi hili kuepuka hili jinamizi
VifaruJamani kuuliza si ujinga,naomba kueleweshwa hizo Tank Ni nini?...zikoje?