kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Lazima UN wa "work very closely" na Ukraine ili isitokea tena ile incident ya kigaidi ya Ukraine kupitisha drones kwenye safe passage za meli na kwenda kushambulia meli vita za Russia.#[emoji298][emoji1255]The United Nations works very closely with the Ukrainian government on the ‘grain deal’ almost every single day and is absolutely committed to ensuring that the deal is extended.[emoji298][emoji298]
[emoji1212] Serbian President Aleksandar Vucic has said that his compatriots who were members of Russia's Wagner PMC and fought against Ukraine will be arrested after they return home, Politico reported.[emoji298][emoji298]
Ninachowakubali Warusi hawarudi nyuma hata wafe wote wataleta wengine, wakiisha ndio wanakimbia.Kichapo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji298]️Russia has lost the biggest tank battle of the war, The New York Times reported.
It happened during a three-week attempt to storm Vuhledar, Donetsk region. The Russians lost more than 130 tanks and armoured personnel carriers.[emoji298][emoji298]
Umenikumbusha yule mwamba aliyewaambia wafuas wake waseme majimaji ili kujikinga na risas[emoji298][emoji298]Defenders from the 35th Brigade are singing Ukrainian anthem while defending their positions[emoji298][emoji298]
Ila we jamaa unajua kujitoa ufahamu walahi Tena.Ninachowakubali Warusi hawarudi nyuma hata wafe wote wataleta wengine, wakiisha ndio wanakimbia.
Tuendelee kuwapiga tu
Uwa nafurahi sana wanavyojua kufarijiana.[emoji23][emoji23][emoji23]Ila we jamaa unajua kujitoa ufahamu walahi Tena.
Hahaha kufa kufaana!!
Warusi wa jamiiforum wanakwambia idadi ya warusi wanaouwawa ikifikia million 27,basi ndio wataamini kwamba ni kweli warusi wanakufa Kwa wingi[emoji848]Ninachowakubali Warusi hawarudi nyuma hata wafe wote wataleta wengine, wakiisha ndio wanakimbia.
Tuendelee kuwapiga tu
Hata wakifika miliaoni 100 kinacho angaliwa ni malengo sisi tumewaachia sensa hiyo muhesabu mkichoka muje BAKHMUT tunawasubiri naona kwa sasa wa Nazi wanaongelea kwenye mahandaki hukoWarusi wa jamiiforum wanakwambia idadi ya warusi wanaouwawa ikifikia million 27,basi ndio wataamini kwamba ni kweli warusi wanakufa Kwa wingi[emoji848]
Kimoja Kimepewa Moto Yaani Kimefumuliwa Sehemu ya Juu na Kuzama Kwenye DimbwiJamani nasikia vifaru vya Leopold vimeanza kupigika huko bakhamut
Pole [emoji28][emoji23][emoji2][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Kimoja Kimepewa Moto Yaani Kimefumuliwa Sehemu ya Juu na Kuzama Kwenye Dimbwi
Sawa, ngoja tuendelee kuwachinja [emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255]Hata wakifika miliaoni 100 kinacho angaliwa ni malengo sisi tumewaachia sensa hiyo muhesabu mkichoka muje BAKHMUT tunawasubiri naona kwa sasa wa Nazi wanaongelea kwenye mahandaki huko
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app