kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kauli hizo zilianza kusikika tangu mwezi June mwaka uliopita [emoji23][emoji28][emoji16]Sawa i'la bakhmut ndo kwaheri hiyo br . Ni swala la muda TU warusi wanapiga popote alipojificha Askari adui
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nashukuru comrade.Umemaliza kila kitu!
Kukomboa? Kumbe Minato mnajua kabisa Russia yuko pale kuikomboa Ukraine. Safi sana hiiWinter imeisha lakini bado Russia anapigana kukomboa majimbo
😂😂😂
Jeshi la mashoga lile haliwezi himili vita na jeshi kubwa na la kisasa. Wao wamezoea kupigana na wanamgambo na bado wanabondwa mpaka yanakimbia..Mazungumzo au USA aingie front mwenyew ili ajionee uhalisia
Si tulikubalia urusi ni nchi maskini hizi hela wanatoa wapiView attachment 2534196
"The line has become the world's largest underground subway ring," Putin said, adding that he intended to take the Chinese delegation to see the line during the upcoming visit of Chinese leader Xi Jinping to Moscow.
Project imegharimu Trillion 15 za kitanzania.
Silaha za NATO ndipo zinakoishia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wamechagua sehemu nzuri Sana ya kufyeka mzigo.Bakhumut miezi 7 Sasa lakini bado ngoma imedinda [emoji28]
Vifurushi vyote vile na mpaka mkapeleka nyingine kwa Siri laakin vyote vinaishia bakhumut Russia una roho mbaya wewe.Kauli hizo zilianza kusikika tangu mwezi June mwaka uliopita [emoji23][emoji28][emoji16]
Kwani nani anataka kukimbia Bakhmut?Ukiona mtu kakimbia mahala baada ya kichapo kuwa kikali basi jua kashindwa eneo Hilo!Alishinda lini ?
Watamalizwa haoKichapo Kwa Russia
Russian Navy 'Crippled' In Ukraine War; Top US Military Official Says Kyiv Effectively Using Weapons 'We Provided Them'
While the conflict in Ukraine has been chiefly fought on land and in the skies, a few hostilities also played out in the naval domain. However, with the conflict entering its second year, two senior American Navy officials assess that going ahead, naval warfare is only poised to decrease because...eurasiantimes.com
Wenyewe wanachukua watu wakati warusi wanachukua ardhi Ukraine itaenda kupigwa vibaya soon tena nchi nzima.Ukrainian DRG entered the village of Lyubechane, Bryansk region in Russia, and took hostage
Hii navy ambayo kila siku wanarusha makombora?hao ndo waliosema urusi wameishiwa makombora na chakulaKichapo Kwa Russia