Asubuhi ya Leo Wagner wameingia City Centet Bakmut na Kusimika Bendera
Hayawi hayawi.....Wanaume Wamingia City centre
Bakmut
AaaaaaHuyu Viktor Sobolev Ana mawazo kama Yangu
Nimuda sasa wa Urusi kuachana na Hii kitu Operation na Kuanza Vita kamili
Yaani sasa Aingie mazima Iwe Vita tu yaani Twanga Hadi makao makuu ya Ukrein Kweli kweli
Hii Kumlea Lea Inachosha Sana
⚡️Viktor Sobolev, a member of the State Duma Defense Committee, said that Russia “absolutely” needs to end the “special operation” and start a real war:
“There are no red lines left regarding Ukraine. And we need to end the special operation and start a war.”
Wamesha Ingia City Center Tena Yalivyo na Dharau yanapiga Music na Migitaa hayana HabariWatu wako katikati ya bakhut na hatuambiani [emoji119][emoji119]
Huyu Viktor Sobolev Ana mawazo kama Yangu
Nimuda sasa wa Urusi kuachana na Hii kitu Operation na Kuanza Vita kamili
Yaani sasa Aingie mazima Iwe Vita tu yaani Twanga Hadi makao makuu ya Ukrein Kweli kweli
Hii Kumlea Lea Inachosha Sana
[emoji298]️Viktor Sobolev, a member of the State Duma Defense Committee, said that Russia “absolutely” needs to end the “special operation” and start a real war:
“There are no red lines left regarding Ukraine. And we need to end the special operation and start a war.”
Yaani Saizi Angelikuwa Kisha IfyekaPutin ni mstaarabu sana embu imagine mtu kama huyu anakua Rais. Ukraine yote ingekua majivu.[emoji23]
Yamekua[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kwanza walichokipata Leo hawatakuja kurudiaUzuri wa Russia wanajua ku deal na magaidi vizuri sana.
Nikikumbuka wale magaidi waliokuwa wanafadhiliwa na US wale wa ISIS walichokuwa wanafanywa kule Syria, basi hata hao magaidi wanaojiita Russian Volunteer Corps of the AFU watafanywa kitu ambacho hawataamini na watapote kwenye thin air.
Mwaka jana tuliona Ukraine walivyomuua yule Binti wa close friend wa Rais Putin, baada ya tukio lile, hatujaona tena Ukraine wakirudia kufanya tena ugaidi wa namna hiyo. Hii ina maana majibu waliyoyapata yalikuwa makali mno.
[emoji116][emoji116][emoji116]President Putin is meeting with Individual Members of the Russian Security Council today to discuss what the Response should be for the Attacks in the Bryansk Region.
Ukraine tujipange leo Putin anaweza anza kichaa chake maana kasema majeshi ya Ukraine yamevamia Urusi na kuua watu.
Leo itakuwa leo