Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tuwekee chanzo cha hii taarifa....kusema unasikia sio chanzo hicho.
 
Yalitabiliwa siku chache tu zilizopita
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
[emoji298]️Western allies are pressuring the United Arab Emirates to stop exporting critical goods to Russia. They want to deprive the Russian troops of the necessary components for the war against Ukraine, the Financial Times reported.[emoji298][emoji298]
 
There’s Now a Video of the ‘Most Successful’ Sabotage Operation Against Russia During the Full-Scale Invasion

Belalrus opposition releases video of hobby drone making brazen landing on Russian air force AWACS jet

Read more on our website.
 
[emoji298][emoji298] Germany, together with its partners, will continue to help the Armed Forces of Ukraine both with weapons and training.[emoji298][emoji298]
 
Justification ya Russians SMO hapo Ukraine imeshasemwa na inajulikana, mainly ni kuhusu Ukraine NATO membership.

Hii habari ya matendo ya kigaidi wala sio sababu (justification) ya hiyo SMO.
 
Western experts????...what a great sense of humor
Si ni hawa west experts waliosema russia anatumia vifaa vya washing machines kwenye makombora yake
Tukubaliane tu kuwa west they know less to nothing about russian weapons
Kwa nini tukubaliane jambo ambalo si kweli`? Wanalipa watu wengi ambao elimu yao inashinda wewe na mimi ili wajiaandae kupambana na silaha hizo. Unapata wapi picha ya ajabu vile?
Pamoja na hayo, kama ungesoma unashokemea sasa, ungeona kwamba chanzo ni makala ya Bwana Sidharth Kaushal - je unaona hii ni jina la "Western" ?
Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…