Ni kweli ni sawa na ugaidi kulenga mizinga na roketi kwenye makazi ya watu raia. Kama askari wa Ukraine anafanya hivi wka kusudi, anastahili kupelekwa mbele ya mahakama.[emoji635][emoji298]Putin called what happened in the Bryansk region a terrorist attack : "They opened fire on civilians, ... they saw that there were children in the car."
Haaaa[emoji1787][emoji1787]hati ya kuuliwa Zelensky na viongozi wa serikali ya ukrain sasa hivi ipo mezani mwa putin ina subiri signature tuPutin kakasirika huko
Hii inaonyesha kwamba na wao ni mashoga ndio maana wana support mashoga wenzao.Ajabu wapo Vilaza Humu wanalisapoti Hilo taifa Kiukweli Inasikitisha Sana
Kumbe? Blinken and Lavrov meet for first time since Ukraine war"Blinken asked for a contact with Lavrov. Sergey Viktorovich had communication on the go during the second session. But there were no negotiations, no meeting or so on," the diplomat said"
Kabisa yaani.Tukio Kama hilo lingefanywa na urusi kila rais wa nchi za nato angeita press na kuanza kulaani vikali 🤪
Dah ila Urusi wepesi kujibu mapigo!Russian forces eliminating Ukrainian saboteurs that violated border – FSB
Russian forces are conducting an operation to annihilate a group of Ukrainian saboteurs that intruded across the border into Bryansk region, the Federal Security Service (FS said on Thursday.
In a statement, the service said that “the FSB and the attached forces of the Russian Ministry of Defense are taking measures to destroy armed Ukrainian nationalists who violated the state border” in the Klimovsky district of Bryansk region.
Earlier in the day, Aleksandr Bogomaz, the region's governor, said that a group of Ukrainian operatives had launched a raid into the area and that the group attacked a moving car, killing one person and injuring a ten-year-old child.
Some media reports suggested that the saboteurs also had taken several local residents hostage, a claim that has not been confirmed by local authorities.
Russia’s regions bordering Ukraine have been repeatedly attacked by Kiev's forces in recent months. On Thursday, Kursk governor Roman Starovoit wrote in a Telegram post that Ukrainian troops had shelled a local village. Kursk officials confirmed that one person was killed in the attack.
🙏🙏🙏🙏🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣😃👏👏👏Nasikia wanajeshi wengi waliozingirwa Hapo Ni wa NATO na Russia watu wanajiuliza kwann anatumia nguvu nyingi bakhumut jibu Ni kwamba ka mji hako kana maveterani wengi kutoka NATO kwahyo tunahasira nao hao jamaa.
Pili Kuna silaha nyingi Sana za NATO ni lengo kuondoa aibu maanawanajeshi wake wakijisalimisha Hapo wataaibika laakini tunashukuru Mungu mda wa kuwaabisha umefika tutawakama wazima wazima na tutashuka nao wazima wazima [emoji635][emoji635][emoji635]
Kweli kabisa.Putin ni mstaarabu sana embu imagine mtu kama huyu anakua Rais. Ukraine yote ingekua majivu.[emoji23]
Mkuu wapi unapata imani kwamba hadithi kuhusu wanajeshi w NATO huko Ukraine ni kweli??? Nimesoma hapa mara kwa mara madai kuwa kuna askari wengi na pia vikosi vya NATO Ukraine.Nasikia wanajeshi wengi waliozingirwa Hapo Ni wa NATO na Russia watu wanajiuliza kwann anatumia nguvu nyingi bakhumut jibu Ni kwamba ka mji hako kana maveterani wengi kutoka NATO kwahyo tunahasira nao hao jamaa.
Pili Kuna silaha nyingi Sana za NATO ni lengo kuondoa aibu maanawanajeshi wake wakijisalimisha Hapo wataaibika laakini tunashukuru Mungu mda wa kuwaabisha umefika tutawakama wazima wazima na tutashuka nao wazima wazima [emoji635][emoji635][emoji635]
Duh 🥱🥱🥱Mashambulio bila akili huko Vuhledar...
Wakifaulu kuteka Bakhmut tutaona hapa shangilio kubwa - ila umuhimu wake ni nini?
Wanapoteza askari wao.. kwa dharau