LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
😎😎 Nivizuri kupeana moyo katika wakati mgumu.
 
Baada ya kuteketezwa wale toys wa mwanzo sasa nao wameanza kutafuta askari wa kukodi.

Nao watafyekwa

View attachment 2146830
We unashindwa kujiuliza hao Askari kwanini wanatoka kwenye ukanda wa magaidi mashariki ya kati lengo la Putin ni kusogeza magaidi Ulaya kwa kisingizio cha kupigana na Ukraine ili wapenye wakawape jotro Ulaya hiyo ni mbinu kali sana nimeamini Warusi wanaakili kubwa sana... Aise safari hii NATO na EU lazima wanye mavi mengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123][emoji635]
 
Hapo NATO wanapelekewa moto kwao kweli kaamua kuua nchi yake mwenyewe. Baada ya miaka 20 hesabu za Putin zitakuwa zimekamila baada ya hao 16000 kuzaliana Ukraine na kuwa wengi
 
Ila hili lakuleta Jihadist Ulaya lazima watamkumbuka Putin maisha yao yoteπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜
KGB lilikuwa dude hatari sana lina mbinu zote za umafia, watu waliona Putin mjinga kushindwa kuipiga ukraine haraka kumbe mwenzao anataka kuicheza hiyo ngoma Ulaya nzima. Maisha ndani ya NATO yatakuwa ya wasiwasi sana na hapo wakitaka kupambana na hao magaidi itabidi wawaue waukraine.

Nchini ukraine na ulaya kunaenda kuchezeka michezo ya middle east
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…