kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ukraine yupo kwake, mwingine kamvamia anampiga nani mkorofi hapo from the law of cause? Halafu mbona Putin na serikali yake walikanusha kwamba hawana mpango kuvamia Ukraine?Kabla hujaanza matusi,unajua sababu ya Putin kuivamia Ukraine? Maana mpaka unatoa matusi,inaonekana ww hujui una akili ndogo sana
Ni lini Ukraine alimpiga Russia? Na mbona wakati mmeplan kuvamia mlipeleka majeshi kimya kimya wengine wakasema mnaplan kuvamia mkakataa?Aliyemchokoza mwenzie ni nani,naomba tuanzie hapo.Nadhani sina sababu ya ku-narrate tena kwa nini Urusi kaingia Ukraine.Tume-discuss sana hapa JF kuhusu swala hili,ni Zombie tu la NWO lisiloweza ku-appreciate ukweli kwamba Urusi walikuwa na haki kabisa kuiondosha serikali ya Kinazi ya Zelensky,ili kujilinda.
Toa sababu ya Putin kuivamia,unajua chanzo? Nimekuuliza unaleta porojo!Ukraine yupo kwake, mwingine kamvamia anampiga nani mkorofi hapo from the law of cause? Halafu mbona Putin na serikali yake walikanusha kwamba hawana mpango kuvamia Ukraine?