LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Putin majeshi yake yameshindwa ku chukua ukraine in 2 days general 9 wameuliwa na mkuu wa majeshi wa Putin yupo kifo cha ndani .Putin amekasirika vibaya mno so Leo ame waomba wanajeshi wa nchi za afrika na Middle East waende wakamsaidie .Belarus amekubali ila kesho anapigwa sanctions .Je wewe mtanzania unaweza kumsaidia Putin .
 
Kama wewe umesikia, unataka nikubishie ulichosikia wewe?

Sasa unataka wanaume wapewe nini, Wanaume wenzao? Kwani wao ni kina Father Kit Cunningham?

Hata mbuzi huwaoni? Hata kuku huwaoni? Una macho lakini hayaoni? Basi hata masikio yako hayasikii?
 
Hakuna kitu rahisi. Huyu mjinga alidhania ataichukua tu Ukraine kirahisi.. si angemuuliza mjinga mwenzake Idd Amin kuhusu Kagera war.. au Hitler kuhusu germany and WW2?
 

Hii ni fursa kuntu kwa Wabongo-Warusi wa humu JF ambao hutukana sana....
 
Yemen??? Si wanaotupa mabomu huko ni Dubai na Saudia? Na wanapeleka roketi huko ni Iran?? Na Syria - si AlQaeda na Urusi waliongia kuua watu?

Yeah Saudi blah blah but US na UK huwezi kuwatoa hapo ndio wasambazaji wakubwa wa silaha na misaada mingine
 
naona dalili za ujerumani mashariki na ujerumani magharibi ya zamani ila majimbo 'huru' kama belarus upande wa mashariki yatakaounganika na mrusi... ama mrusi ananyakua nchi afu anaiacha 'huru' na serikali inayokubaliana nae
 



German TV Shows Nazi Symbols on Helmets of Ukraine Soldiers

In a ZDF report on the fragile cease-fire in eastern Ukraine, images were shown of soldiers
wearing combat helmets with SS insignia and swastikas.

Germans were confronted with images of their country’s dark past on Monday night, when German public broadcaster ZDF showed video of Ukrainian soldiers with Nazi symbols on their helmets in its evening newscast. In a report on the fragile cease-fire in eastern Ukraine, Moscow correspondent Bernhard Lichte used pictures of a soldier wearing a combat helmet with the "SS runes" of Hitler’s infamous black-uniformed elite corps. A second soldier was seen with a swastika on his gear. “Volunteer battalions from nearly every political spectrum are reinforcing the government side,” the ZDF correspondent said in his report.

The video was shot last week in Ukraine by a camera team from Norwegian broadcaster TV2. “We were filming a report about Ukraine’s AZOV battalion in the eastern city of Urzuf, when we came across these soldiers,” Oysten Bogen, a correspondent for the private television station, told NBC News. Minutes before the images were taped, Bogen said he had asked a spokesperson whether the battalion had fascist tendencies. “The reply was: absolutely not, we are just Ukrainian nationalists,” Bogen said

https://www.nbcnews.com/storyline/u...nazi-symbols-helmets-ukraine-soldiers-n198961
 
Cha ajabu nini kuwa na mercenaries??
USA mwenyewe sio tu anachukua mercenaries huwa anachukua kampani ya jeshi zima la Uingereza.
Tactics hizo babu
Huoni maajabu sio?mfano Kaka wa form six kaenda kumpiga mdogo wake wa darasa la tano dogo kapambana halafu jamaa kakimbia kuita masela wake wamsaidie kumpiga dogo hayo huoni Ni maajabu.?
 
Huoni maajabu sio?mfano Kaka wa form six kaenda kumpiga mdogo wake wa darasa la tano dogo kapambana halafu jamaa kakimbia kuita masela wake wamsaidie kumpiga dogo hayo huoni Ni maajabu.?
Unadhani Ukraine asingepata msaada wa silaha na pesa toka UK, US na NATO angekuwa wapi leo? Kumbuka just 25km from the capital Kyiv.. Ukraine is being dismantled, kumbuka hilo pia
 
Kuna mengine tumeyateka yamepelekwa Kubinka Air Base kufanyiwa utafiti
Kwa jinsi wanavyofanya uharibu na kuua raia,aisee ningekuwepo huko afu tuwateke ningewafanyia ukatili wa kutisha Sana.

Imagine Ukraine sio Nchi yangu wala vita hainihusu kwa lolote lakini nachukua kuonewa,kuharibiwa mali,kuuwawa na kuvamiwa afu niwateke eti nikawahifadhi,hii kwangu haiwezi kutokea.

Fanya tukio hadi wakiona video waogope sio kuwapaka poda wavamizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…