Mwambien zelesky,Yaani Huyu Zele Kachanganyikiwa
Sasa Anataka Kuifungia Tiktok kisha Wananchi Wana Ripoti Hali halisi Nchini kwao
A petition appeared on Zelensky's website calling for a temporary ban on TikTok in Ukraine.
Ukrainian MoD probably gonna veto this [emoji23]
Habar km hizi Mashoga lazma wajinyee[emoji16]Tupate Wadhamini kidogo
Kuhusu Vikwazo
View attachment 2567552
Kwa takwimu za huyu jamaa nchi nzima ya Russia wangekua washakufaJana walichinjwa zaidi ya mia sita 🥱🥱🥱View attachment 2567486
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ule ulkua ni msiba wa kitaifa Kwa NATO,Ukweli Umeanza Kujitenga sasa
Ugiriki wanasema Lile Shambulio la Kituo cha NATO Kilichokuwepo Kyive
Chini ya Arhi liliua Dazeni ya Dazen ya Makamanda wa NATO
Wanakuambia Wengi walikuwa Wamarekani
[emoji1167]Greek media: dozens of NATO officers are buried in a secret bunker destroyed by "Daggers" in Ukraine
[emoji404]According to the Greek portal Pronews, received by the editors from “American sources”, “
[emoji95]As a result of the “terrifying blow”, as the article claims, “dozens of NATO officers” were killed.
[emoji780]In all likelihood, we are talking about the defeat of the “shadow general staff” of NATO in Ukraine, the existence of which Western officials stubbornly deny.
View attachment 2567554
VIDEO
Huyu mwamba Mmiliki wa WAGNER PRIGZHIN Anaujasiri sana na Hataki mchezo
jamaa Kaenda Front line 130Mita Kutoka walipo Jeshi la Ukrein
Prigozhin visited central Bakhmut, school number 5, which is located 130m from Ukrainian positions.Closest visit to front line so far
View attachment 2567606
Kifusi cha ZEGE mkuu, we acha tu,tukio la juzi lilikuwa ni kilio na maombolezo - ndio maana juzi Zelensky pamoja na majivuno yake na ujeuri alihaha kitafuta hotline ya Xi, sijui kumwambia nini lakini wasaidizi wa Xi wakamtolea nje.Ule ulkua ni msiba wa kitaifa Kwa NATO,
walifukiwa na kifusi heavy Cha changarawe[emoji178
Mkuu mbna ni kama Kenya ni puppet wa USA.......kwanini kaamua kupiga chini dollar,,,,,,Haya kenya Wameamua kuachana na Dolla kununua mafuta bado Sisi Sijui tunasubiria nini
[emoji1139] Kenya to Buy Oil Using Local Currency Instead of US Dollars: Kenyan President William Ruto signed an agreement with Saudi Arabia to buy oil for Kenyan shillings instead of US dollars.
Kwanza ngoja Mie Ni Mblock tu Sioni chamaana Yeye Yaani Page nzima Imejaa post zake Najaribu kushusha Ili nisisome habari zakeHizi stori zako huwa unaandika au unazifowadi tu bila kuzisoma!?
Mimi huwa nazipita tu bila kuzisoma maana naona kama vile unaziludiludia kila siku
Tuwekee clip, Mkuu.“I am honored to be here today, next to our
Kenya wana Upungufu mkubwa wa DollaMkuu mbna ni kama Kenya ni puppet wa USA.......kwanini kaamua kupiga chini dollar,,,,,,
Hakika Russia ni dude heavyweight
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Krasnopol-M2 guided artillery shells destroy Ukrainian AHS Krab self-propelled artillery and a German-supplied Bergepanzer 2 armored recovery vehicle.
Kila silaha za msaada zikitua Ukraine zinakutana na kitu kizitoHaya sasa, Bwana Zelensky waombe tena German walete tena silaha zingine, maana hizi zimeshachomwa moto.