Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Utashangaa kuna watu humu ndani wanajua kuliko wenye nchi yao US
 
❗️West’s Reaction Will Not Affect Plans To Deploy Nuclear Weapons In Belarus — Kremlin

Key points from Kremlin spokesman Dmitry Peskov’s daily briefing:

▪Data indicates that the attacks on Nord Stream could not have been carried out without the participation of a state, and its special services

▪West is taking all measures to “roll up” the topic of Nord Stream, but Russia won’t allow it

▪Information about President Putin traveling to Turkiye is not true

Subscribe to RT
 

Mwaka jana si walisema wamefanikiwa? Ila Anko sama ni mwongo mwongo sana. Ukute hata hio mwakajana alizingua[emoji3]
 

Medvedev anakwambia Duniani kuna Mungu afu kuna makombora ya hypersonic kutoka Russia. Hio kitu hata ujifiche pangoni inakufata.

Kinzhal imekua tishio sana kwa NATO maana haina jambo ikitumwa lazima mnye.
 
Following Russia’s threats to place its nuclear weapons in Belarus, Mao Ning, the spokesperson for China's Foreign Ministry, said that the issue had to be settled “diplomatically,” Sina media outlet reported on March 27.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Kuna vitu unasoma unabaki unacheka tu hivi Nchi ambayo imeunda hypersonic inayokwenda 12x ya sound ambayo US mpaka leo hii anahaha na hypersonic. Russia ashindwe tech za kuongozea vifaru vyake unaona kabisa hizi ni Propaganda.

Jana nmekutana na habari NY post eti Wagner wameanza kurecruit wapiganaji kutoka Porn hub yani kama unaakili unajiongeza mwenyewe.
 
G.Rajab anakuja spidi sana

Hebu pekuapekua kwenye makabrasha yako uangalie cha kupost
Sawa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


Ukrainian Prime Minister Denys #Shmyhal and U.S. Ambassador to Ukraine Bridget #Brink have discussed priority projects for the rebuilding of #Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Western walikua wanafikiri haya ndio yatatokea Russia pale walivyovurumisha lundo la vikwazo, mambo yamekua tofauti sana wenyewe wanashangaa.

Alafu unakuta mtu anakwambia Putin alikurupuka kwenye hii SMO, angekurupuka angekua kashamalizwa na vikwazo.
 
Rais wa nchi ya Slovakia amesema kwamba nchi yake imechoka kuendelea kuisaidia Ukraine

Amesema kwamba wananchi hawataki tena nchi yao iwasaidie Ukraine.

Pia, wapinzani wamemkalia kooni kuhusu kutoa misaada kwa Ukraine.

Note:

Wiki iliyopita Rais wa Czech na yeye alisema nchi yake imechoka kuisaidia Ukraine.

Mmoja mmoja anaanza kujitoa.
 
 

Attachments

  • IMG-20230326-WA0053.jpg
    68.4 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…