Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duh....una umri gani Ndugu?! Na umefika darasa la ngapi?!
 
Nawashangaa sana Waafrika wanaojipendekeza kwa Nchi za Magharibi ambao ndio kwa asilimia kubwa zilitunyonya na kuua babu zetu

1958 – ‘Civilized’ people feeding a banana to an African girl in a human zoo during a World Fair in Brussels. The values of [emoji1099]European ‘garden.’

[emoji3591]At about the same time, in 1960, People’s Friendship University was founded in Moscow to become Alma Mater for thousands of Africans
 
Mkwara mzito wa Putin... aanza mazoezi ya makombora ya masafa marefu..

Russia has started exercises with the Yars intercontinental ballistic missile (ICBM) system and several thousand troops in what is likely to be seen as another attempt by Moscow to show off its nuclear strength.


A Russian Yars RS-24 intercontinental ballistic missile system during the Victory Day parade in Red Square in Moscow, Russia,in 2016 [File: Grigory Dukor/Reuters]
 
 
 
in your life never be faked with US. They will never ever tell you what their doing and to what level.
 

Kwa conditions hizo ina maana kwenye hizo assets ni kama waondoka mikono mitupu.
50% Discount on Sales
10% of selling proceedings
Independent valuer.

Ni bora kutokuuza hizo assets tu.
 
Kwa hiyo ulitaka awaachie wajiondokee tu kwa pesa walizovuna hapo Russia? Are you insane?
Mkuu sitaki chochote. Naona tu tabia za ujambazi.
Kama kampuni ya nje ilijenga kiwanda, imewekeza. Maana imeleta hela na kuanzisha kitu kwenye nchi nyingine. Si ajabu ikijaribu kuuza chake alicholeta badala ya kukitoa kama zawadi.
Kwa nchi yoyote inayotafuta wawekezaji (Urusi ilitafuta na inatafuta sana kwa sababu inahitaji tekinolojia ya nje na pia pesa) ni muhimu kujenga imani katika uaminifu wake.
Uporaji jinsi ilivyotangazwa sasa ni njia ya hakika kubomoa imani hiyo.
Si shauri yangu, natazama tu.
Je, unaona ni kosa kuita jambo kwa jina lake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…