Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakuu

Kuna yule kibibi kinachoitwa Ursula von der Layen - President of EU Commission.

Huyu bibi alienda China pamoja na President Macron, ila wa China wakamdhalilisha kwa namna ambayo hakuweza kuamini.

Tokea atoke China, hajasikika kabisa, lakini kabla ya kwenda China alikuwa anachonga sana eti Chinese lazima waseme hadharani kwamba they are against Russia.

Lakini kimerudi sijui kimejificha wapi.
Mwenzake Macron amerudi amekuwa ni kama akili ndio zinaanza kumkaa sawa.
 
Uzuri wa Russians wala hawaja comment chochote kuhusu hizi documents zilizovuja.

Cha kushangaza westerns wamebakia kujiongelesha na kuwaongelea Russians.

Russians wapo busy na SMO, hizi destruction ndogo ndogo wala haziwasumbui.
 
Taharifa?!?!?!?! Duh....stupid
 
[emoji2422]President Zelensky received two of the highest awards of the Chechen Republic of Ichkeria, the Order of Honour of the Nation and the Dzhokhar Dudayev Order, the website of the Office of the President reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The UK Treasury has imposed #sanctions on 14 individuals and legal entities, including the wife of a pro-Russian Ukrainian politician Viktor #Medvedchuk, Oksana #Marchenko.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Ukrainian military medics were given 101 tactical medical backpacks, each of which is equipped with all basic medical necessities, including tourniquets, hemostatic bandages, and soft stretchers.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ufaransa kama Simuelewi elewi kwasasa
Kazuia EU kupeleka Vilipuzi Ukrein
View attachment 2585486

France blocked the EU decision on the supply of ammunition to Ukraine - РАР
Ni kwamba, walikubaliana tokea 12 March 2023 ku donate funds na ku supply ammunitions to Ukraine.

Lakini sasa hivi, France wanasema kwamba, proper arrangement inatakiwa hii iwe ni donation from 3rd party (I guess ni USA). Wanasema huyo 3rd party ndiye anatakiwa alete hizo ammunitions na sio kutoa kwenye EU fund.

#Omba omba Zeleboy ana wakati mgumu sana...
 
Hujamwelewa kasema wawe neutral .wawe na nguvu ya kuamua wasiamuliwe
Mkuu Ngonyani, ndio maana nikamalizia kwa kumwambia abakize maneno. Ufaransa ni member wa NATO, hilo ndilo kundi lake, maamuzi yao ni makubiano ya wote. Iweje leo ayaseme maneno hayo wakati vita vya Urusi na Ukraine ina zaidi ya mwaka; sana sana anatafuta msaada wa kutatua hali ya kisiasa na kiuchumi nyumbani kwake.
 
The imposition of #EU #sanctions against #Rosatom will not only deprive Russia of $9 billion in annual profits, but will also close a loophole for the purchase of microchips and electronics used in the production of missiles and military equipment through numerous subsidiaries.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Duh! Pro Russia watakuja kukushambulia Kwa hiki ulichoandika hapa..,Mimi simo[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia bado hajatuma jeshi lake kamili Ukraine bado atumia Wagner na vikosi vingine.

Siku watapoamua kufanya hivyo ndo utakuwa mwelekeo wa mwisho wa vita hivyo.
 
Safi sana mkuu....hiyo makala ya Bbc sikuwahi kuiona ila imemaliza utata kabisa.

Huyo jamaa ya picha ya mwaka 1973 hawezi kuwa ya kijana mdogo wa miaka 21 ambao ni umri wa Putin enzi hizo, ila ni bahati tu kuwa wanafanana.
Yanini kumjadili mtu ambae ubalozi wake upo? Tukacheck ubalozin kwake kama wana taarifa zake enzi hizo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…