kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mkuu ni kweli anatumia hao wana jeshi wa kulipwa, wengi wao wakiwa wafungwa wa jela mbali mbali za ndani na nje ya Nchi yake. Mkuu ebu tuelimishane kidogo juu ya "Nchi kutumia jeshi la kununua badala ya Jeshi la Nchi yako"? Yaani Nchi ipo kwenye vita, tena vita kubwa unatumia jeshi la kukodi na wale wa kwako wana kula bata". Hii tafsiri yake ni nini? Tupeane maarifa Wakuu.Russia bado hajatuma jeshi lake kamili Ukraine bado atumia Wagner na vikosi vingine.
Siku watapoamua kufanya hivyo ndo utakuwa mwelekeo wa mwisho wa vita hivyo.
Naona kwa sasa picha hazifunguki....
Ina maana hapo TZ wanaomaliza form 6 wanaenda jkt miez 3 wanarud wengine wanapewa chaguo kwenda JW au kusepea zao chuo wanapitishwa kimagumashi? Maana hakuna anaefikia 25y/o hata mmoja..View attachment 2582898
Wewe unazungumzia habari hii [emoji3516], lakini miaka hiyo Putin yupo chuo na alihitimu 1975,
Kumbuka Putin kazaliwa 1952 Kwa maana hiyo alikuwa na miaka 23 nadhani kipindi hicho hata jeshi bado hajaingia
Why Vladimir Putin couldn't have trained fighters in Africa - BBC report
Ingia hapo usome
Achana kabisa na Wachina,Wachina sio watu,washamloga huyu.
Maneno ya mkosaji hayo.Russia risks 'becoming an economic colony of China,' CIA director says
Russian President Vladimir Putin and Chinese President Xi Jinping arrive for a signing ceremony at the Kremlin in Moscow, Russia March 21, 2023.
Grigory Sysoyev | Sputnik | Reuters
Russia's reliance on China as one of its key remaining allies is growing amid its increasing isolation as a result of its invasion of Ukraine. Because of that, Moscow risks becoming something of an economic dependent on Beijing, the director of the CIA said.
"Russia is becoming more and more dependent on China and, in some respects, runs the risk of becoming an economic colony of China over time, dependent for export of energy resources and raw materials," CIA director WIlliam Burns said while delivering remarks at Rice University in Houston.
China's yuan has already become much more prominent in Russian markets. According to Russia's central bank, Russians purchased 41.9 billion rubles worth of the Chinese currency in March. That's more than three times the 11.6 billion rubles worth of yuan bought in February, the bank said.
During Chinese premier Xi Jinping's state visit to Russia in March, he and Russian President Vladimir Putin pledged to continue their close friendship, while Western countries warned Beijing against supplying weapons to Moscow. So far, there has been no indication that China has done such a thing, U.S. officials say.
Trade overall between Russia and China jumped by 29.3% to $190 billion in 2022, up from $147 billion the year prior, according to Chinese customs figures cited by the South China Morning Post.
— Natasha Turak
Wachina achana nao kabisa ,wemewaloga Saudi Arabia na Iran wakaacha bifu.[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1732][emoji1732][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Umenifany nchek kwa saut
Wew Ni ndugu YetuWachina achana nao kabisa ,wemewaloga Saudi Arabia na Iran wakaacha bifu.
Na sio 97 tuu...kuna zaid ya 300 na wamefanya hivyo makusud ili waone raction ya urusi....napendekeza urusi itangaze american yeyote ndani ya jeshi la ukrain akamatwe akiwa hai....hakika hiyo leaked doc ita-back fire politcs ya USNa yaweza pia kuwa hiyo ni kazi ya GRU.
Kwamba ninyi mwasema hamshiriki moja kwa moja vita hii mbona mna watu 97 ndani ya Ukraine?
Yote yawezekana.
Serikali imezuia.....[emoji1787]Naona kwa sasa picha hazifunguki....
Sasa hao si mercenaries? Wanatakiwa wasakwe wakiwa hai..wachukuliwe kam POW...iwe fundisho kwa wengine wenye tamaa kama hyo wagome kuingia ukrainSawa sababu kashajua nchi wanazotoka wote hao 97, awache moto maana alisema atakayeingia atakipata ambacho hajawahi kukiona katika maisha yake.