Thanks buddy,Am humbledMmoja kati ya Wakenya Wachache msiopenda ujinga.
Hongera sana
IDF (Israel Defence Force) ambacho huwa wanaweza ni kuwapiga Raia na waandishi wa habari wakinasa maovu yao kwenye Camera. Leo utasikia Wakristo wamezuiwa kuingiwa hapo Holy Sepulchre, kesho utasikia Muslims nao wamezuiwa kuingiwa Holy Al-Aqsa.still on taifa teule
View attachment 2588822
israeli occupation forces severely beat Christians to prevent them from reaching the Church of the Holy Sepulchre
MtihaniHa ha halafu unakuta wanadai kua wanataka Rais mwingine wa kujadiliana nae ila sio Putin. Ilhali kwa mtizamo wa haraka haraka Putin ndio Mstaarab na mpole kati yao. Aliyeweza kutulia tuli kwa kuweka busara nyingi mbele despite provocative actions za west kila uchao.
Hivi ingekua vipi hili sokolo lingemkuta huyu Med ndio Prezda wa Russia? Ingekuaje... nauliza tena INGEKUAJE [emoji1787].
Sio Ukraine, Washirika wa UkraineUkraine yaanza kujiondoa BakhihumtView attachment 2587680
Hata WATAALAMU wa kusoma Picha na video walikiri Bhamut mji umekariwa na Wagna tangu February 2023Ilitekwa asilimia 80, ishirini wanazi wanaponya nafsi zao...msijesema wanazi wameiachia bakhmut kwa hiyari..
Hizo takwimu zako zina ukweli gani?..SMO ilikua na "wafukuza nazis" 190,000 wakaja kuongezwa Wegner group wanaofikia 20,000, ila westen media zikasema ni 50,000, haya jumla tuseme ni 260,000Kikubwa ni kuleta takwimu za kweli,hata wakichinjwa wawili lazima uhabarishwe,hao elf Moja unaotaka wachinjwe nafikiri usubiri pale counteroffensive itakapoanza!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hamna uporaji hapo, hizo ni states ambazo Ukrain alizikalia kwa makubaliano aliyoyavunja mwenyewe..Putin signs law to change time zones in annexed territories in Ukraine to Moscow time
From CNN’s Uliana Pavlova
Russian President Vladimir Putin signed a law to include the annexed Donetsk, Luhansk, Zaporizhzhia, and Kherson regions in eastern Ukraine to the Moscow time, according to the decree published on the state government portal on Friday.
Unofficially, the regions have already been operating in Moscow time since the annexation.
According to the adopted law, these four regions are included in the second time zone (Moscow time, UTC + 3), switching from Kyiv time UTC + 2 (one hour less than in Moscow) in winter and UTC + 3 in summer.
In September, Putin declared that people living in the occupied regions of "Luhansk and Donetsk, Kherson and Zaporizhzhia are becoming our citizens. Forever."
This was announced in a ceremony to assimilate the regions, which make up 18% of Ukraine, following illegal referendums in which pro-Russian officials in the controlled areas voted on whether the territories should join Russia.
=========================
Uporaji unahalalishwa......
Ajabu nyingine christians wa kitanzania huwa wanawatetea pengine wakidhani jews ni christians wenzao au wanasupport christians kumbe ni wide different,IDF (Israel Defence Force) ambacho huwa wanaweza ni kuwapiga Raia na waandishi wa habari wakinasa maovu yao kwenye Camera. Leo utasikia Wakristo wamezuiwa kuingiwa hapo Holy Sepulchre, kesho utasikia Muslims nao wamezuiwa kuingiwa Holy Al-Aqsa.
Sasa unajiuliza kwani hao Wakristo ndani ya Sepulchre ama Waislam ndani ya Al-Aqsa wanawapunguzia au kuwa'ghasi nini hao Jews hupati jawabu.
Ajabu katu huwezi sikia wale wanao jiita International Community wakinyooshea kidole matendo ya hawa viumbe!
Huyo jamaa ndio zake.Wagner boss says Ukraine's planned counteroffensive is likely to succeed as he warns Russia is in 'crisis'
Ukraine's planned spring counteroffensive is more likely to succeed than fail as Russia is in a state of "crisis", the head of the Russian mercenary Wagner group has said.
Yevgeny Prigozhin, who has been critical of Moscow's efforts in Ukraine for some time, has warned a "deep state" of selfish independent elites are at a crisis point due to the military's "failures to secure a victory quickly".
He accused members of this specific community, which he defined as "near-state elites that operate independently of the political leadership of the state and have close ties and their own agenda", of sabotaging Russia's success to return to their privileged lifestyles.
US think tank, The Institute for the Study of War (ISW), says Mr Prigozhin believes their "internal enemies" will push the Kremlin to make serious concessions, including returning territory to Ukraine over the course of a few years.
"Prigozhin explicitly rejected the notion of any negotiations to end the war and urged Russians to continue fighting, even if it results in Russia’s temporary defeat," the ISW said.
The mercenary leader has urged Russia to ignore the elite's temptations to cut losses and settle, saying the military cannot stop fighting now.
It comes at a time when intelligence agencies have reported a closer co-operation between Russian forces and Wagner fighters in recent days, particularly in the ongoing fight for Bakhmut.
===========================
Counter offensive is around the corner....
Mkuu naomba hiyo VideoKama Mnakumbuka Ile Video ya Mwaka Jana mwishoni
Ambayo Ukrein walionyesha Wakiwapiga Live Mateka wa Urusi Risasi bila Huruma
Pia Kuna Video Nyingine Dogo mmoja Ana mwamlisha Mateka Wa Kirusi Asogee Mbele na Alale Chini Kabla hajalala Akapewa yakichwa na kumfumua Ubongo kisha Jamaa Anacheka
Dogo huyo ni huyu hapa
View attachment 2588575
Sasa Jamaa Kadakwa na
WAGNER Walicho Mfanyia Kiukweli Video nimeshindwa Kuimaliza
Huyu kakiona
Hata kama sio mwaka huu ila kubebwa lazmaOdessa lazima ibebwe before end of this year Mark my words
Habari njemaBaraza la Usalama la Urusi linasema Linazo Silaha za Kuangamiza Adui yeyote kama Usalama wa Urusi utakuwa Hatarini
[emoji298]️Russia's Security Council Secretary Patrushev: Russia has weapons to destroy any enemy if it faces risk to its existence
Ajabu nyingine christians wa kitanzania huwa wanawatetea pengine wakidhani jews ni christians wenzao au wanasupport christians kumbe ni wide different,
Akishafurushwa asisahau kusaini kama alivyofanya wakati alipofurushwa LymanPutin signs law to change time zones in annexed territories in Ukraine to Moscow time
From CNN’s Uliana Pavlova
Russian President Vladimir Putin signed a law to include the annexed Donetsk, Luhansk, Zaporizhzhia, and Kherson regions in eastern Ukraine to the Moscow time, according to the decree published on the state government portal on Friday.
Unofficially, the regions have already been operating in Moscow time since the annexation.
According to the adopted law, these four regions are included in the second time zone (Moscow time, UTC + 3), switching from Kyiv time UTC + 2 (one hour less than in Moscow) in winter and UTC + 3 in summer.
In September, Putin declared that people living in the occupied regions of "Luhansk and Donetsk, Kherson and Zaporizhzhia are becoming our citizens. Forever."
This was announced in a ceremony to assimilate the regions, which make up 18% of Ukraine, following illegal referendums in which pro-Russian officials in the controlled areas voted on whether the territories should join Russia.
=========================
Uporaji unahalalishwa......