Lesedi2020
JF-Expert Member
- Feb 2, 2023
- 206
- 1,144
Na dunia itakua sehemu salama ya kuishi hatuwezi kuishi kama wanyama sababu ya watu fulani wanajiona kama dunia ya kwao.na Russia ashikilie hapo hapoYaaani hapa ni hadi ule mrija mkubwa "US" ukatike...ngoma imepata mpigaji, acha tushuhudie shangwe za washangiliaji na styles wacheza show..
Naunga Mkono hoja.Na dunia itakua sehemu salama ya kuishi hatuwezi kuishi kama wanyama sababu ya watu fulani wanajiona kama dunia ya kwao.na Russia ashikilie hapo hapo
Usisahau one monster die another one come a liveNaunga Mkono hoja.
China wana balozi pale Ukraine. Na hata baada ya SMO kuanza Ubalozi wa China nchini Ukraine waliama kutoka Kiev na kwenda Lviv ambao ni mji wa Ukraine pia.Borrell appealed to China and Brazil: You should visit Kyiv before offering peace initiatives to end Russia's war against Ukraine.
Zimwi likujualo halikuli likakwisha!Usisahau one monster die another one come a live
Aione "Kipanya"!!!Wanasema kwa Sasa haitakuwepo hiyo counter eti Kuna mvua.
Kiongozi wa Wagner keshasema hawapewa Tena hiyo nafas ya kuregroup[emoji4]Ukraine may never get another chance to advance.View attachment 2599003
Lavlov anapiga kwny mshono[emoji4]Jukumu la operesheni maalum ya kijeshi ya Urusi ni kuondoa vitisho vilivyoundwa na NATO kwenye mipaka ya nchi, NATO haijasema kwa uaminifu ni vitisho gani iliondoa huko Yugoslavia, Libya, Iraqi - Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Lavrov katika mkutano wa Baraza la Usalama la UN.