President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mkuu!Vipi unataka updates za vita au za upande wa Ukraine?Maoni yamekuwa mengi sana
Tunataka updates buana saiv watu wanaleta sana mawazo yao kama vile wapo ikulu ya zalazensky
Safi sana,ni lazima wavamizi wachakazwe mpaka wanyooshe mikono, ndani ya saa 24 wamechinjwa zaidi ya mia sita 🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱Nimeshalewa wakuu, ngoja nami ni-comment kama wale wenzangu.
Tutazidi kuwachinja kadri inavyowezekana! Leo wamechinjwa 900.
Pro Ukraine mwenzako ameshajazwa mimba hukuSafi sana,ni lazima wavamizi wachakazwe mpaka wanyooshe mikono, ndani ya saa 24 wamechinjwa zaidi ya mia sita 🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱View attachment 2613842
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Au Babu pesa anazopeleka Ukraine anakopa benki alafu marejesho hapelek???[emoji95][emoji273][emoji95]
Nearly half of the 4,800 banks in the US are practically insolvent because they have exhausted their capital buffers.
Oh no.. anyways ukraine needs more money!!
[emoji95][emoji273][emoji95]
Kipanya ajiandae kuzaa...Pro Ukraine mwenzako ameshajazwa mimba hukuView attachment 2613873
Tayari ameshanasa ujauzito wa miezi minne [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anakula udongo wa pemba kama kavurugwaKipanya ajiandae kuzaa...
Ndo maana Russia anasema pale Ukraine anachofanya ni operation tu maana pamoja na kuwa busy kuwachakaza ila bado anaendelea na majukumu yake mengine kama kawaida kama ulinzi wa mipaka yake yote. Kila west wakijaribu kusogeza ndege kwenye mipaka yake wanafurushwaRussian jet intercepts Polish plane over Black Sea A Russian fighter jet intercepted a Polish plane patrolling for the EU's border agency over the Black Sea, causing the pilots to temporarily lose control of the aircraft, Warsaw said Sunday.
Mwamba anakwambia "kwa maadui wa Urusi, asubuhi haianzi na kahawa""Victory will be ours" Sergey Surovikin, was appointed as a liaison between the Ministry of Defense of the Russian Federation and the PMC Wagner : "Yevgeny Prigozhin and I were in contact from the very beginning of the SMO and I shared with him my opinion on some operations.