Iko wapi picha?Ukrainian soldiers destroyed a Russian Pantsir-S1 anti-aircraft system in the Bakhmut sector.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ha ha ha.......watajua hawajui[emoji1]Hahahahah nafikiri anataka awalishe Mandi wanamgambo wa Ukraine [emoji1787]
Atakuoinmyesha pant-sir ya zege[emoji38]Tunaomba picha tuone.
Umesahau kumkumbusha na javellin[emoji1]Himars zipo wapi? Challenger zipo wap? Abrams zipo wapi? Leopard zipo wapi? MiG 29 zipo wapi? Tuna maswali Mengi Sana ya kujiuliza maana bila kupata majibu ya matokeo ya hizo tutajadili nn?
Zipigeni Basi,mnaogopa Nini?[emoji28]Black sea fleet za Russia sasa ziko chini ya Storm Shadow. Kimbizeni makorokocho yenu hayo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
OkUmesahau kumkumbusha na javellin[emoji1]
Ulivyo serious Sasa[emoji38]Jana walichinjwa zaidi ya mia Saba..,hii ni hatari sana 🥱🥱View attachment 2618731
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nakazia.Ulivyo serious Sasa[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema imeamua rudi nyuma Bakhmut ili kuweka nguvu sehemu nyingine
Kumbe walioko Frontline wanajua kwamba prigo huwa anawapa false information khs kuishiwa silaha afu wee kipanya bado unakaza fuvu Wagner wameishiwa silaha[emoji28][emoji115]Ukrainian soldiers have advanced two kilometers near Bakhmut and haven't lost any positions in the area in the past week, Ukraine's Deputy Defense Minister Hanna Maliar said on May 12.
According to Maliar, Russian troops "failed to implement their plans and "suffered heavy losses of manpower" on the front line. "At the same time, the enemy gives false information about the lack of weapons, which probably aims to justify the real situation," the Ukrainian official added.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo nayo itabomolewa tu kama zilivyobomolewa nyinginezo.Urusi imepeleka ‘Sky Scanner’ Niobium Radars Ukraine zenye uwezo wa kudetect Fighter Jets, UAV, zikiwa na range hadi 500 Km
View attachment 2619119
Kumbe wanakufa waukraine,Nakazia.
Ukraine’s military suffers 900 casualties in Donetsk area in past day
Russian forces killed and wounded about 900 Ukrainian troops in the Donetsk area over the past day, Konashenkov reported.
"In all, the enemy’s losses in the Donetsk area amounted to about 900 Ukrainian troops killed and wounded, over 30 pieces of armor, and also seven motor vehicles, two D-30 howitzers and a UK-made L118 howitzer," the spokesman said.
Source iko wapi? Au umeoteshwa[emoji1]Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema imeamua rudi nyuma Bakhmut ili kuweka nguvu sehemu nyingine
Safi Sana[emoji4][emoji106]Urusi imepeleka ‘Sky Scanner’ Niobium Radars Ukraine zenye uwezo wa kudetect Fighter Jets, UAV, zikiwa na range hadi 500 Km
View attachment 2619119
hongera mkuu hii ni coments ninya kipekee sanaa mkuuuWatu husahau kwamba Russia nao wana mitambo ya satelite angani na wao pia hutumia hiyo mitambo kiufanisi.
Hivyo, wakiona shehena yaingia Ukraine wao huilia "timing" na kutuma makombora kuharibu.
Ila vyombo vya habari vya nchi za magharibi vimeambiwa kuweka pembeni misingi ya kutoa habari.
Hawa hupaswi wajibu waache kama walivyo, mi simjibu hata mmoja wao
Air defence mlizosema zipo vizuri za Israeli ndio hizo zinazopigwa? Yaani NATO mwaka huu itakuwa mwisho wenu.